Tutakusaidia kupata mkopo wa dharura za kibiashara au mkopo wa kusaidia kupanua biashara.

 

Tunatoa mkopo wa biashara kwa sekta zifuatazo

Hand holding plus sign icon
Huduma zetu za mikopo zimebuniwa mahususi kwa ajili ya sekta zifuatazo:
  • Sekta ya mawasiliano, habari na teknolojia
  • Maliasili
  • Nishati na umeme

Unahitaji maelezo zaidi au msaada?

 

Tupigie:

+255 768 984 000 | +255 22 219 9793 | +255 768 980 191 | 0800711177 (free)

Tuandikie baruapepe:

nbc_businessbanking@nbc.co.tz

Wasiliana nasiMatawi ya NBC