Akaunti ya Akiba ya NBC Pure Save imekusudiwa kukuwezesha kuweka akiba ya fedha zako ambayo itakusaidia kufikia ndoto zako. Ukiwa na akaunti hii unapata faida maalum kila mwezi. Unakuwa na uhuru pia wa kuweka kiasi chochote wakati wowote.

 

Kufungua Akaunti ya NBC Pure Save

Hand holding plus sign icon

Jaza tu fomu hii  nasi tutawasiliana na wewe, au tembelea tawi lolote la NBC lililo karibu nawe.

Unapaswa kuwasilisha nini unapotaka kufungua akaunti

Kwa wateja wenye akaunti NBC

 • Barua ya rasmi kutoka kwa afisa mtendaji wa serikali za mitaa
 • Nyaraka halisi za kukutambulisha – mojawapo ya hizi zifuatazo:
  • Pasi ya kusafiria
  • Leseni ya udereva
  • Kitambulisho cha Taifa
 • o   Kitambulisho cha mpiga kura

Kwa wateja wasio na akaunti NBC

 • Picha mbili za rangi zilizopigwa karibuni
 • Nyaraka halisi za kukutambulisha – mojawapo ya hizi zifuatazo:
  • Pasi ya kusafiria
  • Leseni ya udereva
  • Kitambulisho cha Taifa
  • Kitambulisho cha mpiga kura
 • Uthibitisho wa anuani ya makazi – mojawapo ya nyaraka zifuatazo:
  • Risiti ya malipo ya bili ya maji (iliyolipwa ndani ya miezi sita) inayoonesha anuani ya makazi yako
  • Barua ya rasmi kutoka kwa afisa mtendaji wa serikali za mitaa
  • Barua ya mwanasheria ikiainisha wazi makazi yako
 • Kwa wasio raia wa Tanzania: watahitajika kuleta pasi ya kusafiri, kibali cha makazi au kibali cha kufanya kazi nchini
Information - icon
Akaunti ya NBC Pure Save inakuwezesha:
 • Kuweka akiba ya fedha zako bila gharama yoyote
 • Kuwa huru wa kuweka fedha kwenye akaunti yako wakati wowote na kiasi chochote
 • Kupata faida kila mwezi inayotokana na riba
 • Kuhamisha fedha kutoka kwenye akaunti yako ya simu kwenda kwenye akaunti yako ya benki
Checklist - icon
Taarifa muhimu
 • Mipaka ya kutoa fedha ili kukuwezesha kutimiza ndoto zako

Unahitaji maelezo au msaada zaidi?


Wasiliana nasi:

+255 76 898 4000 | +255 22 219 3000 | +255 22 551 1000 | 0800711177 (free) 

Tuandikie:

NBCRetailProductteam@nbc.co.tz

Wasiliana nasiTawi la NBC