Kama biashara yako haikui kabisa kutokana na matatizo ya kifedha, tupo kwa ajili yako. Tunaweza kukusaidia kwa kukupatia mkopo, ikiwamo mkopo wa muda mrefu, mkopo wa muda mfupi na kutatua changamoto za madeni.

Pata mkopo wa rasilimali na miradi ili kupanua biashara yako

Hand holding plus sign icon
Tunatoa mikopo ya miradi ya rasilimali, nishati, miundombinu, mawasiliano na sekta ya viwanda
  • Mikopo ya muda mrefu kwa ajili ya miradi
  • Mikopo ya uwekezaji kwa bidhaa zinazosafirishwa (hasa kwa sekta ya Mafuta na gesi)
  • Mikopo ya wakala wa usafirishaji bidhaa
  • Mikopo ya kulipa madeni
  • Mikopo ya dharura
  • Mikopo ya kugharamia Mikopo mikopo ya kimkataba baina ya makampuni
  • Mikopo ya mtaji kwa makampuni yenye miradi

Je, unahitaji taarifa au msaada zaidi?

Tupigie:

 +255 07689 80500

Tuandikie baruapepe:

NBCGlobalMarkets@nbc.co.tz

Wasiliana nasiTafuta tawi