Weka akiba kwenye akaunti inayolinda imani yako kwa kutumia Akanti ya Akiba ya La Riba. Si tu kwamba ni njia ya kufikia ndoto zako, bali pia ni fursa ya kuwasaidia uwapendao kwa kujiunga na Mfuko wa Takaful Waqf wenye mafao kwa ajili ya mazishi.

Weka akiba

Ninafunguaje Akaunti ya Akiba ya La Riba?

Ultimate account - card image
Hand holding plus sign icon
Namna ya kuanza

Jaza fomu hii nasi tutawasiliana na wewe, au tembelea tawi lolote la NBC lililopo karibu nawe.

Unapaswa kuwa na nyaraka zifuatazo wakati wa kufungua akaunti

 • Nyaraka halisi za kukutambulisha – mojawapo ya hizi zifuatazo:
  • Pasi ya kusafiria
  • Leseni ya udereva
  • Kitambulisho cha Taifa
  • Kitmbulisho cha Mpiga Kura
 • Barua ya Afisa Mteji wa Kijiji au Mwanasheria
 • Picha ndogo mbili  za rangi
Information - icon
Manufaa
 • Akaunti ya Shari’ah-ni akaunti ya akiba inayofuata sheria ya Murahaba
 • Hakuna ukomo katika kuchukua fedha kwenye matawi ya NBC
 • Ina kadi za VISA za ATM
 • Unaweza kulipia huduma mbalimbali kwa urahisi kwa kufuata maelekezo yanayotolewa, na hata kuhamisha fedha kielektroniki
 •  Inapatikana kwenye ATM za NBC nchi nzima
 • Unaweza kupata huduma za kibenki kwa  njia ya mtandao
 • Fedha zinalipwa kwa njia ya fedha taslimu, hundi na njia nyinginezo na zinaweza kuingizwa moja kwa moja kwenye akaunti yako
 • Unakuwa Mwanachama wa Mfuko wa mazishi wa Takaful Waqf
Checklist - icon
Taarifa muhimu
 • Haina mkopo wa dharura

Je, unahitaji taarifa au msaada zaidi?

Tupigie:

+255 22 219 3000 | 0800711177 (free) 

Tuandikie baruapepe:

contact.centre@nbc.co.tz

Wasiliana nasiTawi la NBC