Tunatoa mikopo ya gharama nafuu, mikopo ya kuanzisha biashara na ya kuziba mapengo ya kifedha kwenye biashara yako ili uweze kutimiza mahitaji yako ya kifedha kwenye biashara yako.

Ufumbuzi utakaokusaidia kuzimudu changamoto zako za madeni

Hand holding plus sign icon
Manufaa

Tunakusaidia kupata huduma za mkopo wa kuanzisha biashara, ikiwamo:

  • Maandalizi ya mkopo
  • Ushauri kuhusu utaratibu wa kutumia mkopo
  • Mikopo ya muda mrefu
  • Majanga ya mikopo
  • Dhamana ya mikopo

Need more information or assistance?

Call us:

 +255 07689 80500

Email us:

NBCGlobalMarkets@nbctz.com

Contact usFind a branch