Je, unahitaji njia rahisi, ya haraka na isiyo na usumbufu ya kusimamia mshahara wako kwa ajili ya mahitaji yako ya kifedha ya kila siku?  Basi Akaunti ya NBC Direct ipo kwa ajili yako.

Fungua Akaunti

Faida ya kuwa na Akaunti ya NBC Direct

Ultimate account - card image
Hand holding plus sign icon
Kufungua Akaunti ya NBC Direct

Jaza fomu hii nasi tutawasiliana na wewe, au tembelea tawi lililo karibu yako.

Nyaraka zifuatazo zitahitajika:

 • Picha ndogo mbili zilizopigwa karibuni
 • Kitambulisho – mojawapo ya hivi vifuatavyo:
  • Pasi ya kusafiria
  • Leseni ya udereva
  • Kitambulisho cha Taifa
  • Kitambulisho cha mpiga kura
 • Uthibitisho wa anuani ya makazi – mojawapo ya nyaraka zifuatazo:
  • Risiti ya malipo ya bili ya maji au umeme (iliyolipwa ndani ya miezi sita) inayoonesha anuani ya makazi yako
  • Barua rasmi kutoka kwa afisa mtendaji wa serikali ya mtaa
  • Barua ya mwanasheria ikiainisha wazi makazi yako
 • Kwa wasio raia wa Tanzania watahitajika kuleta:- pasi ya kusafiria, kibali cha kazi au cha makazi
Information - icon
Akaunti ya NBC Direct inakupa:
 • Afisa uhusiano atakayekuwa anakuhudumia kwenye maswala yote ya kibenki
 • Kadi ya benki (NBC Visa debit card) BURE unapoanza
 • Kutoa fedha BURE kupitia mashine za ATM za NBC au Makwala wa NBC
 • Huduma za Kibenki kwa njia ya matandao, kwa njia ya simu ya mkononi na kupitia mawakala wa NBC BURE
 • Hati za malipo kwenda kwenye akaunti za NBC BURE
 • Bima ya NBC itatoa mkono wa pole iwapo mwenye akaunti atafariki
 • Unapata mkopo kwa kupitia mshahara wako
Checklist - icon
Taarifa muhimu
 • Kitabu cha hundi kipo kwa watakaohitaji

Unahitaji maelezo au msaada zaidi?


Wasiliana nasi:

+255 76 898 4000 | +255 22 219 3000 | +255 22 551 1000 | 0800711177 (free) 

Tuandikie:

NBCRetailProductteam@nbc.co.tz

Wasiliana nasiTawi la NBC