Ukiwa na Akaunti ya Mwanafunzi ni rahisi sana kuifanya fedha yako iongezeke, kwa sababu si tu kwamba tumepunguza ada ya kuedesha akaunti hii, bali pia tunakulipa faida kwenye salio lako na kukupatia kadi ya ATM bure.

 

Ninafunguaje Akaunti ya Akiba ya Mwanafunzi?

Hand holding plus sign icon
Fungua Akaunti ya Mwanafunzi

Jaza tu fomu hii nasi tutawasiliana na wewe, au tembelea tawi lolote la NBC lililopo jirani yako

Ninapaswa kuleta nyaraka zipi ninapokuja kufungua akaunti

Kwa wateja wenye akaunti NBC

 • Barua ya udahili wa mwanafunzi
 • Nyaraka halisi za kukutambulisha – mojawapo ya hizi zifuatazo:
  • Kitambulisho cha mwanafunzi
  • Pasi ya kusafiria
  • Leseni ya udereva
  • Kitambulisho cha taifa
  • Kitambulisho cha mpiga kura

Kwa wateja wasio na akaunti NBC

 • Picha mbili ndogo za rangi zilizopigwa karibuni
 • Barua ya udahili wa mwanafunzi
 • Nyaraka za kukutambulisha – mojawapo ya hizi zifuatazo:
  • Kitambulisho cha mwanafunzi
  • Pasi ya kusafiria
  • Leseni ya udereva
  • Kitambulisho cha taifa
  • Kitambulisho cha mpiga kura
Information - icon
Akaunti ya Akiba kwa ajili ya Mwanafunzi hukuwezesha:
 • Kufurahia urahisi wa huduma za kibenki wakati unasoma
 • kuweka akiba bila gharama za kuendesha akaunti
 • Kushughulika na akaunti yako kwa masaa 24
 • Kupata kadi ya NBC ya Visa  bure
 • Kupata fedha yako kwa urahisi kupitia mtandao wa ATM za NBC zinazopatikana nchi nzima
 • Unaweza kuchapa taarifa fupi ya akaunti yako kutoka kwenye mashine yoyote ya ATM ya NBC
 • Kupata faida kutokana na salio la Akaunti yako
 • Kuhamisha fedha kutoka kwenye simu yako ya mkononi kwenda kwenye akaunti ya benki
Checklist - icon
Taarifa muhimu
 • Akaunti hii ni maalum kwa wanafunzi tu wenye umri wa miaka kati ya 18 hadi 25

Unahitaji maelezo au msaada zaidi?


Wasiliana nasi:

+255 76 898 4000 | +255 22 219 3000 | +255 22 551 1000 | 0800711177 (free) 

Tuandikie:

NBCRetailProductteam@nbc.co.tz

Wasiliana nasiTawi la NBC