Akaunti ya akiba inayohamishika ni akaunti ya uwekezaji inayokupa fursa ya kuweka fedha na kupata faida. 

 

Akaunti ya akiba inayohamishika inakupatia faida Zaidi ya fedha

Information - icon
Manufaa ya Akaunti ya akiba inayohamishika ni:
  • Riba nafuu ya mikopo
  • Faida unayolipwa unaweza kuihamishia kwenye akaunti yako nyingine
  • Urahisi wa kufungua na kufunga akaunti
  • Utapokea Faida yako kila mwezi
  • Makubaliano ya kiwango cha faida yanawezakufanyika kulingana na kiasi cha fedha kilichopo kwenye akaunti yako

Unahitaji maelezo zaidi au msaada?

Tupigie:

+255 768 984 000 | +255 22 219 9793 | +255 768 980 191

Tuandikie baruapepe:

nbc_corporateservices@nbc.co.tz

Wasiliana nasiMatawi ya NBC