Karibu tukusaidie kufanya huduma za kibenki  kupitia njia zetu za kidigitali. Pitia miongozo yetu rahisi ya kubenki kidigitali itakayo kuongoza na kuanza kufanya miamala kwa njia ya mtandao, simu pamoja na App ya benki.

Benki kwa njia ya mtandao

Pitia miongozo rahisi hatua kwa hatua ya namna  ya kujisajili, kununua umeme na kuhamisha fedha mtandaoni.

Fahamu zaidi

Huduma za kibenki kiganjani

Hatua za haraka na rahisi za kutuma pesa, kuongeza wanufaika, kuhamisha fedha, kuongeza muda wa maongezi, kununua umeme, kuomba taarifa  na mengineyo. 

Fahamu zaidi

Huduma za ATM

Tazama jinsi ilivyo rahisi kutuma pesa, hata kama mpokeaji hana akaunti ya benki. Tunakuonesha pia jinsi ya kutoa na kuweka fedha iliyotumwa kupitia ATM.

Fahamu zaidi

App ya Benki

Miongozo rahisi inayokuonesha jinsi ya kujisajili na App ya benki, kununua Umeme na kulipia bill nyinginezo, kuongeza na kulipa wanufaika na kuhamisha fedha.

Fahamu zaidi

Je, unahitaji maelezo au msaada zaidi?

Tupigie:

+255 76 898 4000 | +255 22 219 3000 | +255 22 551 1000 | 0800711177 (free) 

Tuandikie:

NBC_Digital.Channels@nbc.co.tz

Wasiliana nasiTawi la NBC