Kusanya fedha zako kutoka kwa wateja wako kwa urahisi. Kwa kuwa na Akaunti ya Makusanyo ya fedha unapata pia faida itokanayo na mlinganyo na fedha unayoweka akiba.

 

Akaunti ya Makusanyo ya Fedha inakupa faida nyingi zaidi 

Information - icon

Faida za kuwa na Akaunti ya NBC ya Makushanyo ya Fedha 

  • Inapokea fedha za kitanzania na za kigeni
  • Inakupatia faida kulingana na kiasi cha fedha kinachobaki kwenye akaunti yako
  • Faida inatokana na kiasi kinachobaki kwenye akaunti yako kila siku
  • Unaweza kuchukua fedha wakati wowote unapohitaji kwa njia ya hundi au njia za kibenki za uhamishaji fedha
  • Unaweza kufanya miamala yako kwa urahisi kwenye simu ya mkononi, kompyuta au tableti kupitia huduma za NBC Online Banking

Unahitaji maelezo zaidi au msaada?

Tupigie:

+255 768 984 000 | +255 22 219 9793 | +255 768 980 191

Tuandikie baruapepe:

nbc_corporateservices@nbc.co.tz

Wasiliana nasiMatawi ya NBC