Ukishakuwa mteja wa NBC sio lazima ufike tawini illi kupata huduma za kibenki. Tunakupa uhuru wa kutumia akaunti yako ya NBCwakati wowote na popote unapohitaji kupita mashine za ATM, njia ya intaneti, Simu yako ya mkononi, mawakala wa NBC nchi nzima

NBC Ltd itatumia na kutoa taarifa zako binafsi pale tu inapohitajika ili kukupa huduma ulizoomba au unazohitaji kutoka NBC. Angalia Sera ya Utunzaji Taarifa ya NBC.

Mashine za ATM

Chukua na hamisha fedha, angalia salio, lipia miamala mbalimbali ikiwemo ada za shule na kuweka fedha taslimu kwenye akaunti yoyote NBC

Soma zaidi

Huduma za Kibenki Mtandaoni

Furahia kufanya miamala yako ya kibenki mahali popote, wakati wowote nyumbani au ofisini kwako.

Soma zaidi

Huduma za NBC Mobile Banking

Kupitia Huduma za NBC Mobile Banking, unatembea na akaunti yako ya NBC kwenye simu yako ya mkononi popote uendapo.

Soma zaidi

Huduma za NBC Wakala

Huduma za kibenki mtaani kwako kupitia Mawakala wa NBC.

Soma zaidi

Huduma za Kielektroniki

Pata taarifa za akaunti yako kwa barua pepe na pokea ujumbe wa maandishi kwenye simu ya mkononi kukujulisha kila muamala unaofanyika kwenye akaunti yako.

Soma zaidi

Huduma za Mashine za POS

Mashine za POS za NBC zinarahisisha upokeaji wa malipo ya bidhaa au huduma kwa njia ya kadi popote duniani.  Mteja wa NBC mwenye biashara anaweza kuwa na mashine hizi kutoka NBC na pia kufurahisa huduma baada ya mauzo toka kwa wataalam wetua

Soma zaidi

Namna ya kubenki kidigitali

Angalia muongozo wetu kwa urahisi wa kutumia huduma zetu za kibenki za kidigitali.

Soma zaidi

Epuka foleni, weka fedha kwenye akaunti yoyote ya NBC kupitia kwenye mashine za ATM za NBC matawini

Man at the office

Okoa muda wako kwa kulipa bili zako kwa mtandaoni

Collegues at the office

Tumia akaunti yako ya NBC wakati wowote na popote

the globe

Tuma fedha kwa yeyote hata asiye na akaunti yoyote na atanda kuzichukua kwenye ATM za NBC

Holding a bank card

Urahisi ya kutuma fedha kutoka kwenye simu yako kwenda kwenye akaunti za NBC

Signing documents

Tuma fedha kutoka kwenye akaunti yako ya NBC kwenda kwenye simu ya mkononi

the globe

Je, unahitaji maelezo au msaada zaidi?

Tupigie:

+255 76 898 4000 | +255 22 219 3000 | +255 22 551 1000 | 0800711177 (free) 

Tuandikie:

NBC_Digital.Channels@nbc.co.tz

Wasiliana nasiTawi la NBC