Akaunti ya Akiba inayohamishika ya NBC ni akaunti ya uwekezaji inayokupa fursa ya kuweka fedha na kupata faida kubwa.

 

Akaunti ya akiba inayohamishika ya NBC inakupatia faida ya fedha pamoja na faida nyingine nyingi

Information - icon
Manufaa ya Akaunti ya Akiba inayohamishika ni:
  • Riba nafuu ya mikopo
  • Faida unayolipwa unaweza kuihamishia kwenye akaunti yako nyingine
  • Urahisi wa kufungua na kufunga akaunti
  • Utapokea Faida yako kila mwezi
  • Makubaliano ya kiwango cha faida yanawezakufanyika kulingana na kiasi cha fedha kilichopo kwenye akaunti yako

Unahitaji maelezo au msaada zaidi?


Wasiliana nasi:

+255 768 984 000 | +255 22 219 9793 | +255 768 980 191 | 0800711177 (free)

Tuanidikie

NBCRetailProductteam@nbc.co.tz

Wasiliana nasi Tawi la NBC