Turuhusu tukuwezeshe katika shughuli zako za kibishara: Benki ya NBC hununua bidhaa, kama vile mitambo au malighafi kwa niaba yako na kukupatia faida.

Ninautaka

Manufaa ya Mkopo wa La Riba wa Biashara na Wakalah LC

Circle with a tick
Mkopo wa Shari’ah-unaongozwa na sheria ya Murahaba

Unafuata kanuni ya Murabaha ambayo ni kanuni ya Kiislamu kuhusu mkopo.

Clock icon
Unafuu

Unaweza kununua bidhaa za kati ya milioni 1 hadi 25 za Kitanzania.

Coins with arrows - icon
Marejeo

Unafuu wa kurejesha kwa kipindi cha mwaka 1 hadi miaka 4.

Hand with a plus sign
Manufaa

Kuna huduma ya Wakalah LC.

Ninaupataje?

Hand holding plus sign icon
Namna ya kuanza

Jaza fomu hii nasi tutawasiliana na wewe, au tembelea tawi lililopo jirani yako.

Unapaswa kuwa na nini unapoomba

 • Maelezo ya kampuni
 • Ushahidi wa ulipaji kodi kwa TIN/VAT
 • Leseni ya biashara
 • Taarifa za benki
 • Akaunti ya Kusimamia fedha zako
 • Taarifa za fedha zilizokaguliwa
 • Memoranda na Sheria za Kampuni
 • Mpango wa Biashara
 • Uthibitisho wa malipo ya kodi ya ardhi
 • Welekeo wa mtiririko wa fedha
Information - icon
Manufaa
 • Mkopo unaofuata sheriaya Murabaha
 • Shari’ah-unafuata sheria ya Murahaba
 • Una faida ya mkopo kubwa
Checklist - icon
Taarifa muhimu
 • Unaweza kutumika kununua bidhaa za ndani na nje
 • Unahitaji dhamana ya usalama wa mkopo
 • Ni kwa ajili ya biashara na mashirika yaliyoendelea na kazi

Je, unahitaji taarifa au msaada zaidi?

Tupigie:

+255 22 219 3000 | 0800711177 (free) 

Tuandikie baruapepe:

contact.centre@nbc.co.tz

Wasiliana nasiTawi la NBC