Je, unahitaji fedha kwa ajili ya bidhaa za nyumbani, vifaa vya ujenzi, vifaa vya umeme au bidhaa nyingine yoyote ya thamani fulani? Mkopo wa La Riba kwa Mfanyakazi Binafsini jibu lako. Huu ni mkopo wa Shari’ah-huduma zinazofuata sheria na unafuata kanuni ya Kiislamu ya Murabaha: Benki ya NBC hununua bidhaa kwa niaba yako na kukuongeza faida.

 

Manufaa ya Mkopo wa La Riba wa Mfanyakazi Binafsi

Shield with coins
Hakuna haja ya dhamana

Haina haja ya kuweka fedha za dhamana wala kulinda usalama wa mkopo.

Shield with coins
Haikubani sana kwenye marejesho

Muda wa kurejesha ni miezi 60.

Shield with coins
Pata mkopo zaidi

Mkopo wa kuanzia milioni za Kitanzania 10 badi 80.

Shield with coins
Mkopo Wenye gharama nafuu

Unafuata msingi wa Kiislamu wa Murabaha.

Ninapataje Mkopo wa La Riba kwa Mfanyakazi Binafsi?

Hand holding plus sign icon
Namna ya kuanza

Jana fomu hii nasi tutawasiliana na wewe, au tembelea tawi lolote la NBC lililo karibu nawe.

Unapaswa kuwa na nyaraka zifuatazo

 • Nyaraka halisi za kukutambulisha – mojawapo ya hizi zifuatazo:
  • Pasi ya kusafiria
  • Leseni ya udereva
  • Kitambulisho cha Taifa
  • Kitambulisho cha Mpiga Kura
 • Picha ndogo mbili  
 • Barua ya mwajiri
 • Karatasi za mshahara wa miezi mitatu iliyopita
Information - icon
Manufaa
 • Ni Shari’ah tu-inafuata sheria ya murahaba katika ukopeshaji
 • Unapata mkopo hadi wa milioni 80 za Kitanzania
 • Inapatikana kwa wafanyakazi wenye biashara na wanaohitaji kufuata Shari'ah-mokopo unaofuata sheria ya Murahaba
 • Hakuna kuweka dhamana au usalama wa mkopo
 • Marejesho yanaweza kufanyika kwa awamu kwa muda wa hata miezi 60
 • Kiwango huwekwa wakati wa kuanza na hakibadiliki
 • Unalipa kiasi hicho hicho kwa kurejesha kila mwezi kwa kipindi chote cha mkopo
 • Una viwango vizuri vya faida ya mkopo
Checklist - icon
Taarifa muhimu
 • Mkopo unaofuata sheria ya Murabaha
 • Unaweza kutumika kununu kitu chochote kinachokubalika kwa mujibu wa Shari’ah

Je, unahitaji taarifa au msaada zaidi?

Tupigie:

+255 22 219 3000 | 0800711177 (free) 

Tuandikie B-pepe:

contact.centre@nbc.co.tz

Wasiliana nasi Tafuta tawi