Fungua Akaunti akiba kwa Muda Maalum na uwe na uhakika wa kupunguza vihatarishi na kuongeza faida kutokana na fedha uliyowekeza.

 

Akaunti ya Akiba kwa Muda Maalum ya NBC ina manufaa gani kwako

Information - icon
Manufaa ya Akaunti ya Akiba kwa Muda Maalum
  • Uwekezaji usiokuwa na vihatarishi vingi
  • Inakuzalishia faida kubwa
  • Unaweza kuitumia akiba yako kama dhamana ya kukupatia mkopo
  • Haina makato ya kila mwezi ya kuendesha akaunti

Unahitaji maelezo au msaada zaidi?


Wasiliana nasi:

+255 768 984 000 | +255 22 219 9793 | +255 768 980 191 | 0800711177 (free)

Tuandikie:

NBCRetailProductteam@nbc.co.tz

Wasiliana nasi Tawi la NBC