Kama biashara yako haikui kutokana na matatizo ya kifedha, tupo kwa ajili yako. Tunaweza kukusaidia kwa kukupatia mkopo, ikiwamo mkopo wa muda mrefu, mkopo wa muda mfupi na mikopo endelevu.

Tuma maombi

Pata mkopo wa rasilimali na miradi ili kuendeleza biashara yako

Hand holding plus sign icon
Tunatoa mikopo ya miradi kwa ajili ya rasilimali, nishati, miundombinu, mawasiliano na sekta ya viwanda
  • Mkopo wa mradi wa muda maalum
  • Mkopo wa uwekezaji kwa bidhaa zinazosafirishwa (hasa kwa sekta ya mafuta na gesi)
  • Mkopo wa wakala wa kusafirisha
  • Mkopo wa kulipia madeni
  • Mkopo wa dharura
  • Mkopo wa mtaji kwa miradi ya makampuni

Unahitaji maelezo zaidi au msaada?

Tupigie:

+255 768 984 000 | +255 22 219 9793 | +255 768 980 191 | 0800711177 (free)

Tuandikie baruapepe:

nbc_businessbanking@nbc.co.tz

Wasiliana nasiMatawi ya NBC