Mkataba wa Ubadilishaji Fedha unahusiana na Sharia’ah-mkataba kati yako na NBC unaofuata sheria ya Murahaba. Kiwango cha kubadilisha fedha huwekwa baada ya kununu au kuuza fedha moja kwa nyingine, ili iwasilishwe baadae kwa tarehe iliyopangwa. Baada ya kiwango cha kubadilisha kinakuwa kimewekwa wakati wa kuingia mkataba, fedha inakwenda moja kwa moja kwa mhusika tarehe hiyo inapofika.

Ninautaka

Manufaa ya Mkataba wa La Riba wa Ubadilishaji Fedha

Viwango vilivyowekwa vya kubadilisha fedha

Kiwango cha kubadilisha fedha huwekwa mara moja.

Ahadi ya makubaliano

Ni ahadi ya makubaliano ya pamoja kati yako na Benki ya NBC.

Ubadilishaji Fedha za Kigeni

Hupunguza hatari zinazoweza kukupata katika ubadilishaji wa fedha za kigeni.

Malipo kufanyika kwa wakati mzuri

Fedha huhamishwa tu tarehe inapofika.

Ninawezaje kupata Mkataba wa Ubadilishaji Fedha?

Hand holding plus sign icon
Namna ya kuanza

Jaza fomu hii  nasi tutawasiliana na wewe, au tembelea tawi lililopo jirani yako.

Information - icon
Manufaa
  • Ni Shari’ah tu-huduma inayofuata sheria ya murahaba
  • Inakusaidia kuachana na hatari zinazoweza kutokea katika ubadilishaji fedha
  • Ni ahadi ya makubaliano ya pamoja
Checklist - icon
Taarifa muhimu
  • Kiwango cha ubadilishaji huwekwa wakati wa kuingia mkataba
  • Fedha inakwenda moja kwa moja kwa mhusika baada ya tarehe ya mkataba kufika

Je, unahitaji taarifa au msaada zaidi?

Tupigie:

+255 22 219 3000 | 0800711177 (free) 

Tuandikie B-pepe:

contact.centre@nbctz.com

Wasiliana nasiTafuta tawi