Tunatoa huduma za soko la fedha ili kukuwezesha kusimamia ubadilishaji wa fedha za kigeni, viwango vya riba, bei za bidhaa na vihatarishi vyake.

Kubadili Fedha kwa makubaliano ya papo hapo

Nunua fedha za kigeni kwa viwango vinavyokubalika kwenye soko na uzipate ndani ya muda mfupi.

Fahamu zaidi

Huduma ya Fedha za Kigeni kwa wote

Kununua au kuuza fedha za kigeni huhitaji kuwa na akaunti kwetu.

Fahamu zaidi

Huduma ya Udhibiti wa Vihatarishi

Tunakuwezesha kuelewa na kutathmini mazingira ya vihatarishi katika ubadilishaji wa Fedha za Kigeni.

Jifunze zaidi

Pato la Muda Maalum

Nunua na kuuza amana za serikali.

Jifunze zaidi

Mbia wako kwa mahitaji yako yote ya Kubadili fedha za kigeni


Pata viwango vizuri vya kubadili fedha za kigeni.


Pata viwango vizuri vya kubadili fedha za kigeni.


Pata viwango vizuri vya kubadili fedha za kigeni.


Ulinde mzunguko wa fedha zako kwa ufanisi na usahihi wa kupanga bajeti.

Soko la kubadili Fedha la NBC

Uchaguzi za kubadili fedha za kigeni

Simamia vizuri fedha zako kupitia huduma mbalimbali za NBC za kubadili fedha.

Fahamu zaidi

Kubadili Fedha za Kigeni

Inakukinga na mabadiliko ya viwango vya kubadili Fedha za Kigeni.

Fahamu zaidi

Unahitaji maelezo zaidi au msaada?

Tupigie:

+255 (0) 7689 80500

Tuandikie baruapepe:

NBCGlobalMarkets@nbc.co.tz

Wasiliana nasiMatawi ya NBC