Kusanya fedha zako kutoka kwa wateja wako kwa urahisi. Kwa kuwa na Akaunti ya Makusanyo ya fedha unapata pia faida itokanayo na kulingana na fedha unayoweka akiba.

Fungua Akaunti

Akaunti ya Makusanyo ya Fedha ya NBC inakupa faida nyingi zaidi

Information - icon

Faida za kuwa na Akaunti ya NBC ya Makushanyo ya Fedha

  • Inapokea fedha za kitanzania na za kigeni
  • Inakupatia faida kulingana na kiasi cha fedha kinachobaki kwenye akaunti yako
  • Faida inatokana na kiasi kinachopaki kwenye akaunti yako kila siku
  • Unaweza kuchukua fedha wakati unapohitaji kwa njia ya hundi au njia za kibenki za uhamishaji fedha
  • Unaweza kufanya miamala yako kwa urahisi kwenye simu ya mkononi, kompyuta au tableti kupitia huduma za NBC Online Banking

Unahitaji maelezo au msaada zaidi?

Wasiliana nasi:

+255 768 984 000 | +255 22 219 9793 | +255 768 980 191 | 0800711177 (free)

Tuandikie:

nbc_businessbanking@nbc.co.tz

Wasiliana nasiTawi la NBC