Fungua Akaunti ya Akiba ya Muda Maalum ili uwe na uhakika wa kupunguza vihatarishi na kuongeza faida kutokana na fedha uliyowekeza.

 

Akaunti ya Muda Maalum ina manufaa gani kwa kampuni yako

Information - icon
Manufaa ya Akaunti ya Akiba kwa Muda Maalum
  • Hakuna mabadiliko ya faida uliyokubaliana na NBC mwanzoni
  • Uwekezaji usiokuwa na vihatarishi vingi
  • Inakuzalishia faida kubwa
  • Unaweza kuitumia akiba yako kama dhamana ya kukupatia mkopo
  • Haina makato ya kila mwezi ya kuendesha akaunti

Unahitaji maelezo zaidi au msaada?

Tupigie:

+255 768 984 000 | +255 22 219 9793 | +255 768 980 191

Tuandikie baruapepe:

nbc_corporateservices@nbc.co.tz

Wasiliana nasiMatawi ya NBC