Tunatoa mikopo ya gharama nafuu, mikopo ya kuanzisha biashara na ya kuziba mapengo ili kukuwezesha kukidhi mahitaji yako muhimu ya kifedha kwenye biashara yako.

Tuma maombi

Namna tunavyofanya kukusaidia kukidhi mahitaji yako

Hand holding plus sign icon
Hatua

Tunakusaidia kupata huduma za mkopo wa kuanzisha biashara, ikiwamo:

  • Maandalizi ya mkopo
  • Ushauri kuhusu utaratibu wa kutumia mkopo
  • Mikopo ya muda maluum
  • Mikopo ya ushirika (Debt syndication)
  • Dhamana ya mikopo

Unahitaji maelezo zaidi au msaada?

 

Tupigie:

+255 768 984 000 | +255 22 219 9793 | +255 768 980 191 | 0800711177 (free)

Tuandikie baruapepe:

nbc_businessbanking@nbc.co.tz

Wasiliana nasiMatawi ya NBC