Tumia akaunti ya NBC ya biashara kukurahisishia namna ya kuendesha biashara yako.

 

Akaunti ya Hundi

Weka au toa fedha kulingana na mahitaji yako. Inakuruhusu kufanya miamala ya fedha za kitanzania na za kigeni.

Nijuze zaidi

 

Akaunti ya Akiba inayohamishika

Weka fedha zako akiba na upate faida na uhuru wa kuzihamishia kwenye akaunti yako ya hundi.

Nijuze zaidi

 

Akaunti ya Makusanyo ya Fedha

Hii ni akaunti ya kuweka fedha – ama kwa fedha za kitanzania au za kigeni – na kuzichukua unapozihitaji.

Nijuze zaidi

 

Akaunti ya Kawaida ya Hundi

Unatafuta akaunti ya kawaida, nafuu inayokuwezesha kuweka na kutoa fedha? Hii ni njia nzuri ya kutunza fedha zako unazozipata kila siku.

Nijuze zaidi

 

Akaunti ya Akiba kwa Muda Maalum

Pata faida kutokana na kiasi cha fedha ulichowekeza kwa muda maalum. Hakuna makato ya mwezi

Nijuze zaidi

 

Urahisi wa kupata huduma za kibenki, faida zaidi

Unganisha akaunti yako na Huduma ya NBC Online Banking.
Jipatie faida kubwa zaidi.
Fanya miamala ya fedha za kitanzania au za kigeni.
Ni salama, rahisi na njia nzuri ya huduma za kibenki.

Unahitaji maelezo au msaada zaidi?


Wasiliana nasi:

+255 768 984 000 | +255 22 219 9793 | +255 768 980 191 0800711177 (free)

Tuandikie Baruapepe:

NBCRetailProductteam@nbc.co.tz
Wasiliana nasi Tawi la NBC