Kama mwanachama wa NBC B-Club, utafurahia nafasi ya kutumia huduma anuwai za NBC na huduma nyingine za ongezeko la thamani. Yote yanalenga kusaidia biashara yako ikue.

 

Tuma maombi ya kujiunga na NBC B-Club na ufaidike zaidi

Information - icon
Manufaa ya NBC B- Club

Mwanachama wa NBC B-Club hupata faida zifuatazo:

 • Huduma za kibenki kwenye matawi 50 na mashine za ATM zaidi ya 200
 • Kuweka fedha kwenye akaunti yoyote ya NBC kupitia ATM zetu wakati wowote hata usiku wa manane
 • Kufanya miamala kupitia kwa Wakala wa NBC, Huduma za NBC Online Banking na Mobile Banking
 • Wanapata fursa ya kuhudumiwa katika Vituo vyetu vya Wateja Binafsi katika matawi yote ya NBC nchini

Hupata huduma za ongezeko la thamani zifuatazo:

 • Semina zinazowakutanisha na Wafanyabiashara wengine kutoka maeneo mbalimbali ulimwenguni
 • Safari za biashara za ndani, za kanda na za kimataifa
 • Maonesho ya biashara ya ndani na ya nje ya nchi
 • Mikutano ya wafanyabiashara
 • Mafunzo ya biashara yanayotolewa na wabia wa NBC (wataalamu waliobobea kwenye biashara za kitaifa na za kimataifa, wataalamu wa Kodi na viwango vya bidhaa), TanTrade, TCCIA, TRA, TIC
Information - icon
Taarifa muhimu
 • Kuna ada ya uanachama
 • Punguzo la riba ya mikopo.
 • Klabu iko wazi kwa ajili ya wateja wote wakubwa na wadogo
 • Kupata huduma za Klabu ni kwa wanachama hai wa NBC B-Club tu  (Wale waliolipa ada za uanachama)

Unahitaji maelezo au msaada zaidi?

Wasiliana nasi:

+255 768 984 000 | +255 22 219 9793 | +255 768 980 191 | 0800711177 (free)

Tuandikie:

nbc_businessbanking@nbc.co.tz

Wasiliana nasiTawi la NBC