Tumia Akaunti za NBC kwa ajili ya Kampuni kurahisisha uendeshaji wa kampuni yako.

 

Akaunti ya Hundi kwa Mashirika 

Weka na chukua fedha kila unapohitaji. Pia unaweza kufanya miamala ya fedha za kitanzania na za kigeni.

Jifunze zaidi

 

Akaunti ya akiba inayohamishika

Weka akiba fedha zako na upate faida na uhuru wa kuhamishia kwenye akaunti yako ya hundi. 

Jifunze zaidi

Akaunti ya Makusanyo ya Fedha

Hii ni akaunti ya kuweka fedha – ama kwa fedha za kitanzania au za kigeni – na kuzichukua unapozihitaji.

Jifunze zaidi

Akaunti ya NBC ya La Riba kwa ajili ya Mashirika

Akaunti ya NBC ya La Riba kwa ajili ya Mashirika.

Jifunze zaidi

Akaunti ya Akiba ya Muda Maalum

Fungua akaunti nzuri zaidi inayokusaidia kuongeza akiba yako ndani ya muda mfupi na haina makato ya kuendesha akaunti.

Jifunze zaidi

Huduma bora za kibenki, na manufaa mengi.

Kuza wigo wa uwekezaji wa kampuni yako

Unganisha akaunti yako na Huduma ya NBC Online Banking.
Jipatie faida kubwa zaidi.
Jipatie faida kubwa zaidi.
Ni salama, rahisi na njia nzuri ya huduma za kibenki.

Unahitaji maelezo zaidi au msaada?

Tupigie:

+255 768 984 000 | +255 22 219 9793 | +255 768 980 191

Tuandikie baruapepe:

nbc_corporateservices@nbc.co.tz

Wasiliana nasiMatawi ya NBC