Wahudumu wetu wa Vituo vya Huduma kwa Makampuni waliopo matawi na makao makuu hukupatia msaada wa karibu kwa maswala yako ya kila siku kuhusu bidhaa zetu, aina ya huduma na zaidi.

 

card with cash
Huduma kwa wateja

Zinapatikana wakati wote.

Glob icon
Majibu ya haraka

Tunatoa suluhisho/ushauri kwa haraka katika kushughulikia maswali na maombi ya wateja.

Tunapatikana kwa urahisi

Wafanyakazi wetu wanapatikana nchi nzima kwa ajili yako.  

Utayari wa kuhudumia

Mawasiliano ya haraka na msaada wa moja kwa moja.

Professional using a laptop

Endelea kupata taarifa na huduma za kibenki za kila siku

Fuatilia miamala yote mahali popote na wakati wowote unapata taarifa za akaunti yako. Tunatoa taarifa za akaunti yako ya biashara kila mara ukihitaji, kupitia tawini au kwa njia ya mtandao.

kupata Huduma Kibenki za Biashara

card with cash
Taarifa za Akaunti

Fuatilia miamala yote ya akaunti yako wakati wowote.

Glob icon
Ujumbe wa SWIFT MT

Kwa ajili ya akaunti zako zote za biashara.

Taarifa za kielektroniki

Taarifa za akaunti yako zitatumwa kwa baruapepe moja kwa moja kwako na ni bure kabisa.

Ripoti za kukataliwa kwa hundi

Tunakupatia muhtasari kila mwezi kuhusu hundi zote zilizokataliwa.

benefits - icon
Huduma ya taarifa za akaunti

Taarifa rasmi za miamala ya akaunti yako inatolewa kupitia matawi ya NBC au kupitia huduma za kibenki kwa njia ya Mtandao.

Manufaa

 • Inaokoa muda kwako na kwa NBC
 • Tunakupa huduma ya kuletewa na kusafirishiwa vifurushi
 • Inapunguza uhalifu na kulinda biashara yako

Ninaipataje huduma hii

 • Huduma hii hutolewa kwa wenye akaunti tu
 • Unaweza kuchapa ripoti yako au kuipakua kwenye PDF
 • Unaweza kupata nakala iliyochapishwa kutoka kwenye matawi ya NBC
benefits - icon
Ujumbe wa SWIFT MT 

Ujumbe wa SWIFT hutolewa moja kwa moja kuhusu miamala ya kupokea na kutuma hela kwenye akaunti yako.

MT message types

Tunatoa huduma ya usimamizi wa fedha taslimu na kukujulisha mteja kuhusu hali ya akaunti yako.

Manufaa

 • Kupokea papo hapo ujumbe wa SWIFT ukithibitisha malipo – unaweza pia kumtumia mnufaika moja kwa moja

Namna ya kupata ujumbe wa SWIFT MT

 • Fungua akaunti ya Kampuni  na NBC
 • Jaza fomu inayotumwa kwa njia ya Baruapepe ili uwe unapokea mfululizo wa taarifa za MT900, SWIFT au ututumie maelekezo yoyote kwa njia ya Baruapepe
 • Tembelea tawi lililopo karibu yako ili kujaza fomu au jaza fomu ya mdanoni. Tutawasiliana na wewe ili kukamilisha usajili
benefits - icon
Taarifa za kielektroniki

Pokea taarifa ya akaunti yako kila mwezi au kila siku kwa njia ya Baruapepe.

Faida

 • Unapata taarifa zako haraka na wakati wowote, popote
 • Ni bure
 • Inatunza mazingira kwa kupunguza matumizi ya karatasi
 • Ina ulinzi dhidi ya vihatarishi iwapo baruapepe ikipotea au kuibiwa
 • Punguza msongamano wa makaratasi ofisini kwako kwa kutunza kumbukumbu zako kielektroniki

Ninapataje taarifa ya akaunti yangu?

 • Kwa wasio na akaunti NBC – fungua akaunti kwetu na chagua kupata huduma hii
 • Kwa wenye akaunti NBC – kama bado huna huduma hii, Jaza fomu ya maombi ili usajiliwe

 

benefits - icon
Ripoti ya hundi zilizokataliwa

Utapokea ripoti zinazokujulisha kila muamala wa hundi, hata ile iliyokataliwa au iliyoshindikana kulipwa.

Manufaa

 • Inaokoa muda
 • Inapunguza uhalifu
 • Inailinda biashara yako

Ninaipataje?

 • Kwa wasio na akaunti NBC – fungua akaunti kwetu na chagua kupata huduma hii
 • Kwa wenye akaunti NBC – kama bado huna huduma hii, Jaza fomu ya maombi ili usajiliwe

 

Need more information or assistance?

Call us:

+255 768 984 000 | +255 22 219 9793 | +255 768 980 191

Email us:

nbc_corporateservices@nbctz.com

Contact usFind a branch