Imarisha biashara yako kupitia huduma zetu za kifedha.

Mikopo mikubwa ya Soko & Biashara ya NBC

Tunakusaidia kugharamia masuala yote ya madeni na mikopo ya kuanzisha biashara mbalimbali.

Jifunze zaidi

Mikopo ya NBC kwa ajili ya Nyumba na Viwanja

Hii ni mikopo ya biashara kwa ajili ya wanaojenga au wanaomiliki majengo ya biashara.

Jifunze zaidi

Mkopo wa NBC kwa ajili ya Makampuni

Tunatoa ushauri wa kifedha kwa makampuni ambayo yanapitia changamoto ngumu za kifedha.

Jifunze zaidi

Mikopo ya NBC Rasilimali & Miradi

Huduma za mikopo na ushauri kuhusu mikopo zimeandaliwa kwa ajili yako.

Jifunze zaidi

Kupata mkopo wa biashara kutoka NBC kuna manufaa mengi

Huongeza thamani ya bidhaa zako na kuongeza mtaji.
Husaidia kupanua mtaji, kuimarisha na kukuza biashara yako.

Hufungua fursa za kupanua biashara yako na kuwa ya kimataifa.
Hukusaidia kupata ushauri wa kibishara kutoka kwenye timu yetu ya mikopo. 

Je, unahitaji taarifa au msaada zaidi?

Tupigie:

+255 07689 80500

Tuandikie baruapepe:

NBCGlobalMarkets@nbc.co.tz

Wasiliana nasiTafuta tawi