Tunakupatia fursa mbalimbali za kununua na kuuza amana za serikali kwa soko la moja kwa moja au kupitia wakala aliye sajiliwa kuuza amana za serikali, hii inayokupatia fursa ya kujua hali ya soko na mabadiliko kwenye uwekezaji wako.

Faidika na pato zuri la uwekezaji wa muda maalum

Hand holding plus sign icon
Manufaa
  • Viwango vizuri vya riba
  • Unapata sarafu zote zinazohitajika sana
  • Kwa viwango vilivyopo wakati huo

Unahitaji maelezo zaidi au msaada?

Tupigie:

+255 07689 80500

Tuandikie baruapepe:

NBCGlobalMarkets@nbc.co.tz

Wasiliana nasiMatawi ya NBC