Nunua au uza fedha za kigeni kwa ajili ya kuzipata baadae na pia ujikinge na mabadiliko ya viwango vya Kubadili Fedha. Wasiliana na mtaalam wetu wa masuala ya kubadili fedha ili kujifunza zaidi kuhusu biashara za ubadilishaji fedha na mambo yanayo tarajiwa kibiashara.

Ubadilishaji wa fedha kwa mkataba wa muda maalum

Hand holding plus sign icon
Manufaa
  • Ni kinga ya athari hasi za mabadiliko ya viwango vya kubadili fedha
  • Mtiririko wa fedha ni rahisi na unatabirika
  • Unakuwa na tarehe maalum za kupokea fedha yako kutokana na mahitaji yako

Unahitaji maelezo zaidi au msaada?

Tupigie:

+255 07689 80500

Tuandikie baruapepe:

NBCGlobalMarkets@nbc.co.tz

Wasiliana nasiMatawi ya NBC