Huduma za Kubadili Fedha za Kigeni zinazotolewa na NBC hukuwezesha kunufaika na mabadiliko ya viwango vya kubadilisha fedha za kigeni. Huduma hizi ni salama na zinafaa kutumika kwa biashara za kununua na kuuza nje ya nchi.

Manufaa na huduma za kubadili Fedha za Kigeni zinazotolewa na NBC

Hand holding plus sign icon
Manufaa
  • Ina gharama nafuu
  • Inasaidia kuepuka opetevu wa fedha
  • Inazalisha faida kubwa
Tunatoa huduma zifuatazo kwa wafanyabiashara wanaouza na kununua ndani na nje ya nchi
  Mkataba wa Kuuza (Kwa wauzaji bidhaa nje ya nchi) Mkataba wa Kununua (kwa Waingizaji bidhaa kutoka nje ya nchi)
Faida za kuvutia Kupungua kwa thamani ya Fedha za Kitanzania Kupungua kwa thamani ya Fedha za Kitanzania
Manufaa Unapata fedha nyingi za Kitanzania kwa kubadili kutoka fedha za kigeni Unatumia fedha kidogo za Kitanzania kwa kubadili kwenda fedha za kigeni
Utekelezaji Kutokana na manufaa yaliyo elezewa hapo juu, Ndiyo. Endapo viwango vya kubadili fedha vilivyookubalika na pande zote ni vikubwa kuliko viwango vya ushindani kilichopo muda huo Ndiyo. endapo viwango vya kubadili fedha vilivyookubalika na pande zote ni vikubwa kuliko viwango vya ushindani kilichopo muda huo

Unahitaji maelezo zaidi au msaada?

Tupigie:

+255 07689 80500

Tuandikie baruapepe:

NBCGlobalMarkets@nbc.co.tz

Wasiliana nasiMatawi ya NBC