Tuna huduma za kudhibiti vihatarishi ambazo hukusaidia kutathmini na kuepuka vihatarishi vinavyotokana na kubadilika kwa viwango vya ubadilishaji wa Fedha za Kigeni, viwango vya riba, na bei za bidhaa.

Ninahitaji huduma hii

Udhibiti wa vihatarishi vya huduma za kubadili Fedha za Kigeni umerahisishwa

Hand holding plus sign icon
Manufaa
  • Inakupa uhakika kwenye mzunguko wa fedha zako
  • Inasaidia kupunguza maumivu, pindi kiwango cha riba kinapopanda
  • Inakusaidia kujua mabadiliko kwenye bei za bidhaa

Unahitaji maelezo zaidi au msaada?

Tupigie:

+255 07689 80500

Tuandikie baruapepe:

NBCGlobalMarkets@nbc.co.tz

Wasiliana nasiMatawi ya NBC