Je, unahitaji kuuza au kununua fedha za kigeni? Huduma hii hukupatia fursa ya kubadili fedha zako kwa viwango vizuri na kwa haraka.

Ninahitaji huduma hii

Chaguo lako kwa mahitaji yako ya kubadili fedha za kigeni kwa haraka zaidi

Hand holding plus sign icon
Manufaa
  • Ni huduma nzuri kwa wafanyabiashara wanaotumia fedha tofauti na za Kitanzania
  • Unapatiwa fedha yako haraka (ndani ya muda mfupi)
  • Viwango vinaamuliwa wakati wa kubadili fedha

Unahitaji maelezo zaidi au msaada?

Tupigie:

+255 07689 80500

Tuandikie baruapepe:

NBCGlobalMarkets@nbc.co.tz

Wasiliana nasiMatawi ya NBC