Nunua na kuuza Dola za Kimarekani, EURO, na Paundi kwenye tawi lolote la NBC nchini, hata kama huna akaunti kwetu.

Ninahitaji huduma hii

Huduma rahisi kwa ajili ya mahitaji yako ya haraka ya Fedha za Kigeni

Hand holding plus sign icon
Manufaa
  • Ni njia ya haraka na nzuri kwa miamala ya Fedha za Kigeni inayofanyika kwenye matawi yetu nchi nzima
  • Inapatikana pia hata kwa wateja ambao hawana akaunti NBC
  • Viwango vinaamuliwa wakati wa kubadili fedha

Unahitaji maelezo zaidi au msaada?

Tupigie:

+255 07689 80500

Tuandikie baruapepe:

NBCGlobalMarkets@nbc.co.tz

Wasiliana nasiMatawi ya NBC