Jua jinsi ilivyo rahisi kujisajili na App ya benki na kuitumia kuhamisha fedha, kununua Umeme na kuongeza wanufaika kwenye akaunti yako.

Jinsi ya kuongeza mnufaika

Hatua za haraka na rahisi za kuongeza mnufaika wa muda wa maongezi, uhamishaji fedha, ununuzi wa umeme.

Fahamu zaidi

 

Jinsi ya kununua Umeme

Tazama jinsi ilivyo rahisi kununua umeme bila kutoka nyumbani au ofisini kwako.

Fahamu zaidi

Jinsi ya kuhamisha fedha

Mwongozo rahisi unaokuonesha jinsi ya kuhamisha fedha kwenda akaunti nyingine ya NBC.

Fahamu zaidi

Jinsi ya kuongeza mnufaika
 • Jaza muda wa maongezi

  1. Fungua App ya NBC Kiganjani kwenye kifaa chako
  2. Ingia
  3. Chagua ''Huduma Nyingine'' chini kulia kwenye screen yako
  4. Chagua Wanufaika
  5. Chagua Ongeza Mnufaika mpya
  6. Chagua Nunua Muda wa Maongezi                                                               
  7. Ingiza Jina la Mnufaika
  8. Chagua Operator wa Mtandao (Zantel, Vodacom, Airtel, Halotel, TTCL iliyolipwa kabla, Tigo)
  9. Ingiza namba ya Simu ya mpokeaji
  10. Hakiki na Hifadhi Mnufaika
  11. Mteja atapokea OTP kupitia SMS
  12. Weka namba za siri zilizotumwa kupitia SMS
  13. Screen ya Uthibitisho
 • Umeme

  1. Fungua App ya NBC Kiganjani kwenye kifaa chako
  2. Ingia
  3. Chagua ''Huduma Nyingine'' chini kulia kwenye screen yako
  4. Chagua Wanufaika
  5. Chagua Ongeza Mnufaika mpya
  6. Chagua Lipa Bili
  7. Chagua Umeme wa kulipiwa kabla
  8. Chagua LUKU
  9. Ingiza namba ya mita na jina la mnufaika
  10. Bonyeza Endelea, Hakiki na Hifadhi Mnufaika
  11. Ingiza na Uthibitishe OTP
  12. Screen ya Uthibitisho
 • DSTV

  1. Fungua App ya NBC Kiganjani kwenye kifaa chako
  2. Ingia
  3. Chagua ''Huduma Nyingine'' chini kulia kwenye screen yako
  4. Chagua Wanufaika
  5. Chagua Kuongeza Mnufaika mpya
  6. Chagua Lipa Bili
  7. Chagua kifurushi cha Televisheni
  8. Chagua DSTV
  9. Ingiza Namba ya Kadi ya Smart na jina la Mnufaika
  10. Bonyeza Endelea, Hakiki na Hifadhi Mnufaika
  11. Ingiza na Uthibitishe OTP
  12. Screen ya Uthibitisho
 • Hamisha fedha kwenye Akaunti ya NBC

  1. Fungua App ya NBC Kiganjani kwenye kifaa chako
  2. Ingia
  3. Chagua ''Huduma Nyingine'' chini kulia kwenye Screen yako
  4. Chagua Wanufaika
  5. Chagua Ongeza Mnufaika mpya
  6. Chagua Akaunti ya ndani ya NBC
  7. Ingiza Akaunti Namba, na  Jina la Mmiliki wa Akaunti
  8. Bonyeza Endelea
  9. Hakiki na Hifadhi Mnufaika
  10. Ingiza na Uthibitishe OTP
  11. Screen ya Uthibitisho
Jinsi ya kununua umeme
 • Jinsi ya kununua umeme

  1. Fungua App ya NBC Kiganjani kwenye kifaa chako
  2. Ingia
  3. Chagua ikoni ya Lipa bili
  4. Chagua kampuni iliohifadhiwa
  5. Chagua Akaunti ya Kutolea na Ingiza Kiasi 
  6. Bonyeza Endelea
  7. Hakiki Bili na Uthibitishe Malipo
  8. Screen ya Uthibitisho
  9. Pokea tokeni kupitia SMS
Jinsi ya kuhamisha fedha
 • Jinsi ya kuhamisha fedha kwenda akaunti ya NBC

  1. Fungua App ya NBC Kiganjani kwenye kifaa chako
  2. Ingia
  3. Chagua ikoni ya 'Uhamisho' chini ya screen
  4. Chagua Akaunti ya ndani ya NBC
  5. Chagua Mnufaika
  6. Chagua Akaunti ya kuhamisha fedha kutoka
  7. Chagua Sarafu
  8. Ingiza Kiasi
  9. Ingiza Kumbukumbu
  10. Bonyeza Endelea
  11. Thibitisha Uhamisho
  12. Screen ya Uthibitisho

Je, unahitaji maelezo au msaada zaidi?

Tupigie:

+255 76 898 4000 | +255 22 219 3000 | +255 22 551 1000 | 0800711177 (free) 

Tuandikie:

NBC_Digital.Channels@nbc.co.tz

Wasiliana nasiTawi la NBC