Akaunti ya Hundi ya La Riba kwa ajili ya Mashirika inaongozwa na kanuni ya Qardh. Ina mikopo isiyo na riba, unarejesha kiasi hicho hicho ulichokopa. Akaunti hii inapokea fedha zifuatazo: Fedha za Kitanzania, Dola za Kimarekani, EURO na Paundi (GBP), kutegemeana na wewe unavyopendelea.

 

Ninafunguaje Akaunti ya Hundi ya La Riba kwa ajili ya Mashirika?

Hand holding plus sign icon
Namna ya kuanza

Tembelea tawi la NBC lililopo karibu yako ili ufungue Akaunti yako ya Hundi ya La Riba au jaza fomu hii na tutawasiliana na wewe

Unapaswa kuwa na nyaraka zifuatazo wakati wa kufungua akaunti

 • Leseni ya ya biashara
 • Hati ya usajili
 • Picha ndogo mbili zilizopigwa karibuni

Unapaswa kuwa na nyaraka zifuatazo wakati wa kufungua akaunti

 • Nyaraka halisi za kukutambulisha – mojawapo ya hizi zifuatazo:
  • Pasi ya kusafiria
  • Leseni ya udereva
  • Kitambulisho cha Taifa
  • Kitmbulisho cha Mpiga Kura

Maelezo ya biashara yako

Information - icon
Manufaa
 • Akaunti ya Shari’ah-ni akaunti inayofuata sheria ya Murahaba
 • Hakuna ukomo katika kuchukua fedha kwenye matawi ya NBC
 • Ina mtandao wa ATM za NBC nchi nzima
 • Inapatikana kwenye simu ya mkononi kupitia huduma za kibenki kwa njia ya mtandao
 • Unaweza kulipia huduma mbalimbali kwa urahisi kwa kufuata maelekezo yanayotolewa, na hata kuhamisha fedha kielektroniki
 • Unaweza kutuma fedha ndani na nje ya nchi
 • Inapokea fedha za Kitanzania, Dola za Kimarekani, Paundi na EURO
 • Ina kitabu cha hundi
 • Taarifa za akaunti zinapatikana bure kila mwezi
Checklist - icon
Taarifa muhimu
 • Haina mkopo wa dharura

Je, unahitaji taarifa au msaada zaidi?


Tupigie:

+255 768 984 000 | +255 22 219 9793 | +255 768 980 191

Tuandikie B-pepe:

nbc_corporateservices@nbc.co.tz

Wasiliana nasi Tafuta tawi