Huduma hii ya Mudharabah (uwekezaji) inamwezesha mteja kupata faida kutokana na Shari’ah. Fedha ya mteja hutumika kuwekeza kwenye miradi halaal na faida inayopatikana mteja anapewa baada ya muda wa uwekezaji kuisha.

 

Ninaupataje Mkataba wa Kuweka Fedha kwa Muda Maalum

Hand holding plus sign icon
Namna ya kuanza

Jaza fomu hii  nasi tutawasiliana na wewe, au tembelea tawi lililopo jirani yako.

Tembelea tawi la NBC lililopo jirani na tutawasiliana na wewe.

  • Unapaswa kuwa na nyaraka zifuatazo unapoomba
  • Uwe na akaunti ya NBC
Information - icon
Manufaa 
  • Ni Shari’ah tu-akaunti inayofuata sheria ya Murahaba
  • Hakuna makato kwenye akaunti hii
  • Ina viwango vizuri sana vya faida inayogawanywa
  • Miradi ya uwekezaji haina masharti ilmradi ni halaal
Checklist - icon
Taarifa muhimu
  • Hakuna mkopo wa dharura
  • Lazima uwe na akaunti ya NBC ili uwezeshwe kufungua akaunti hii

Je, unahitaji taarifa au msaada zaidi?

Tupigie:

+255 768 984 000 |+255 22 219 9793 |+255 768 980 191 | 0800711177 (free) 

Tuandikie B-pepe:

contact.centre@nbctz.com

Wasiliana nasiTafuta tawi