Ikiwa unatafuta akaunti ya kawaida ya benki kwa ajili ya kuweka na kuchukua fedha au kwa ajili huduma nzuri za kibenki, NBC tunazo akaunti mbalimbali za hundi zinazokupa urahisi na furaha ya kutumia huduma za kibenki kila siku.

Akaunti Binafsi ya Hundi

Furahia uhuru wa kaweka na kutoa kiasi chochote cha fedha kwenye akaunti yako kwa kutumia simu yako ya mkononi, mawakala wa NBC, mashine za ATM na kwenye matawi yetu.

Fahamu zaidi

Nimevutiwa

Akaunti ya NBC Direct

Unapokea mshahara? Hii ni akaunti nzuri kwa ajili ya mahitaji yako yote ya kuweka akiba, kutoa pesa pamoja na mkopo binafsi.

Fahamu zaidi

Nimevutiwa

Akaunti ya NBC Kikundi

Je, unatafuta akaunti ya miamala kwa ajili ya kikundi chako rasmi au kisicho rasmi? Akaunti ya NBC ya Kikundi ni mwafaka kwa ajili ya mahitaji ya kibenki ya fedha za kikundi.

Fahamu zaidi

Nimevutiwa

Tunakupa urahisi wa kutumia huduma za kibenki wakati wowote na popote

Tunakupa uhuru wa kuchagua akaunti ya hundi inayokufaa zaidi kulingana na mahitaji yako ya kila siku ya kibenki.

Huduma za kibenki 24/7

Unaweza kuweka fedha kwenye Akaunti yoyote ya NBC au ya benki nyingine nchini kupitia mashine za ATM za NBC, Njia ya Mtandaoni au kwa njia ya Simu ya Mkononi.

Weka akiba fedha

Kuweka fedha BURE kwenye akaunti yako kupitia tawi lolote la NBC au mashine za ATM za NBC

Amani

Ni salama na unaweza kutumia akaunti yako ya NBC popote na wakati wowote.

Uhamishaji fedha kwa njia ya mtandao

Tunakupa uwezo wa kuhamisha fedha kwa njia ya mtandao kwenda kwenye akaunti za NBC au za benki nyingine yoyote nchini.

Unahitaji maelezo au msaada zaidi?


Wasiliana nasi:

+255 76 898 4000 | +255 22 219 3000 | +255 22 551 1000 | 0800711177 (free) 

Tuandikie:

NBCRetailProductteam@nbc.co.tz

Wasiliana nasiTawi la NBC