NBC inakupa funguo za kununua nyumba, kukamilisha ujenzi wa nyumba au kufanya ukarabati wa nyumba yako. Pamoja na mkopo wa nyumba, NBC inakupa wataalam makini wa kukushauri kuhusu masuala ya mkopo huu.

Miliki nyumba yako sasa kwa kuchukua mkopo wa nyumba kutoka NBC
Furahia Faida zaidi kwa kutuletea NBC mahitaji yako ya kifedha kwa ajili ya nyumba.
Unahitaji maelezo au msaada zaidi?
Wasiliana nasi:
+255 76 898 4000 | +255 22 219 3000 | +255 22 551 1000 | 0800711177 (free)
Tuandikie: