Ikiwa unataka kununua gari, au unahitaji msaada wowote wa kukidhi gharama ambazo hukuzitarajia, mkopo binafsi kutoka NBC unakuwezesha kufanya hayo yote na zaidi.

Mkopo wa Waajiriwa

Mikopo ya NBC kwa ajili ya Waajiriwa hutolewa kwa wafanyakazi wa kudumu, wenye mshahara walioajiriwa na kampuni yenye akaunti NBC.

Soma zaidi

Mkopo wa NBC Cash Cover

Kuwa na akaunti ya akiba inayokuwezesha kupata mkopo wa muda mfupi au mkopo wa dharura wa hadi 90% ya kiasi cha fedha uliyoweka kwenye akaunti yako ya NBC.

Soma zaidi

 

Kwa nini Mkopo Binafsi wa NBC?

Lengo letu ni kukusaidia ufikie ndoto zako mapema. Ukichukua mojawapo ya mikopo binafsi ya NBC, unajipatia faida nyingi na za kipekee ikiwemo:

Malengo

Inakusidia kufikia malengo yako ya kifedha ya muda mrefu na ya muda mfupi.

Rahisi

Makato kwa ajili ya marejesho ya mkopo ni kidogo na nafuu.

Marejesho

Nafasi ya kuchagua namna mbalimbali zenye unafuu za kufanya marejesho

Uhuru

Unachagua muda wa marejesho unaoendana na hali yako.

Unahitaji maelezo au msaada zaidi?


Wasiliana nasi:

+255 76 898 4000 | +255 22 219 3000 | +255 22 551 1000 | 0800711177 (free) 

Tuandikie:

NBCRetailProductteam@nbc.co.tz

Wasiliana nasiTawi la NBC