Akaunti za Akiba za NBC hukupatia njia salama, nzuri na rahisi za kukusaidia kuweka akiba ya fedha zako na kupata faida. Tuna aina mbalimbali za kuweka akiba na kuwekeza ili kukuwezesha siku zote ufikie malengo yako ya kifedha.

Akaunti ya Akiba ya Kawaida

Ni akaunti ya akiba yenye makato kidogo sana na uchukuaji wa fedha usio na mipaka.

Soma zaidi

Nataka kuweka akiba

 

Akaunti ya NBC Malengo

Weka akiba kidogo kidogo bila makato ya kuendesha akaunti.

Soma zaidi

Nataka kuweka akiba

Akaunti ya NBC Pure Save

Fungua akaunti nzuri zaidi inayokusaidia kuongeza akiba yako ndani ya muda mfupi. Haina makato ya kuendesha akaunti.

Soma zaidi

Nataka kuweka akiba

Vumbua uwekaji akiba wenye Faida kutoka NBC

NBC tunazo akaunti za akiba zinazokidhi mahitaji ya kila mmoja, haijalishi ana umri gani. Tunakupa uhuru wa kutumia akaunti yako muda wowote kupitia ATM zetu, Mawakala wa NBC kwa gharama kidogo sana kukupa Faida itokanayo na riba

Akaunti ya NBC ya Akiba kwa Wanafunzi

Furahia punguzo la makato ya kuendesha akaunti huku ukiweka akiba wakati unasoma.

Soma zaidi

Nataka kuweka akiba

 

Akaunti ya NBC Chanua

Una umri chini ya miaka 18? Tunakuwezesha kuwa na akaunti yako ya akiba

Soma zaidi

Nataka kuweka akiba

Furahia viwango vikubwa vya faida kutokana na fedha uliyowekeza

Akaunti ya NBC Fixed Deposit inakupa nafasi ya kuwekeza fedha zako kwa kipindi maalum na kujipatia faida ya muda mrefu itokanayo na riba

Faidika kwa muda mrefu na Akaunti ya NBC Fixed Deposit

Ni nzuri

Unakuwa na kiasi maalum cha kuwekeza ambacho kinakuwezesha kuwekeza kulingana na uwezo wako

Viwango Vizuri vya Faida

Ina faida kubwa na inayoongezeka kulingana na muda wako wa kuwekeza unavyoongezeka.

Haina Makato

Akaunti yako inaendeshwa BURE na hivyo hakuna makato kwenye uwekezaji wako bali inakupatia faida.

Unahitaji maelezo au msaada zaidi?


Wasiliana nasi:

+255 76 898 4000 | +255 22 219 3000 | +255 22 551 1000 | 0800711177 (free) 

Tuandikie:

NBCRetailProductteam@nbc.co.tz

Wasiliana nasiTawi la NBC