Kutumia akaunti yako popote ulipo iwe nyumbani au ofisini, ndani au nje ya nchi ipo ndani inaenda sambamba na wewe kufufua akaunti yako ya NBC.
 
Karibu Nyumbani!

Nitafanyaje kufufua akaunti yangu?

Hand holding plus sign icon
Namna ya kuanza

Jaza fomu hii hapa chini na tutawasiliana na wewe au tembelea tawi lolote la NBC karibu nawe

Utahitajika kuja na yafuatayo:

 • Kitambulisho kimoja kati ya hivi:
  o   Pasi ya kusafiria
  o   Leseni ya udereva
  o   Kitambulisho cha taifa
  o   Kitambulisho cha mpiga kura
 • Barua ya utambulisho,  mojawapo kati ya hizi:
  o   Kutoka kwa mwajiri au
  o   Kutoka kwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa
 • Picha moja ya rangi (passport Size)
Information - icon
Faida
 • Ni BURE Kabisa. Hautalipia gharama za kufufua akaunti
 • Tumefuta malimbikizo ya makato yote ya mwezi
 • Kadi yako ya NBC visa inakuwezesha kufanya malipo mtandaoni au kutumia mashine ya POS, kutoa fedha kwenye ATM yoyote inayokubali kadi za Visa popote duniani.
 • Utaweza kulipia bili, kutuma pesa na mengine mengi kupitia NBC Mobile
Checklist - icon
Taarifa muhimu

Utaweza kutumia akaunti yako popote na wakati wowote kwa kupitia:

 • NBC Mobile Banking
 • NBC Online Banking
 • Mawakala wa NBC
 • ATM za NBC zinazopokea fedha
Je, wewe tayari ni mteja wa NBC? *

Zingatia: Vipengele vyote vyenye nyota (*) ni vya lazima.

Unahitaji msaada au maelezo zaidi?

Tupigie:

+255 768 984 011 | +255 222 193 000 | +255 225 511 000 | 0800711177 (free)

Barua pepe:

NBCRetailProductteam@nbc.co.tz

Wasiliana nasiTawi la NBC