Njia salama na rahisi ya kuweka akiba kwa kipindi cha muda maalum na kupata faida kubwa.

 

Namna ya kufungua Akaunti kuwekeza

Hand holding plus sign icon
Namna ya kuanza

Jaza tu  fomu hii meneja mahusiano wa NBC atawasiliana na wewe. Jisikie huru kuwasiliana nasi kupitia namba na baruapepe zilizotolewa hapa chini au tembelea tawi lililopo karibu nawe

Information - icon
Manufaa
  • Meneja Mahusiano kukuhudumia
  • Viwango vizuri vya riba kwa fedha uliyowekeza
  • Hakuna makato ya uendeshaji wa akaunti
  • Kila mwezi utatumiwa kwa barua pepe  taarifa za akaunti yako BURE
  • Kitabu cha hundi bure 
  • Utaweza kuchukua mkopo kutotana na kiasi cha fedha kilichopo kwenye akaunti yako
Checklist - icon
Taarifa muhimu
  • Uhuru wa kuchagua muda wa uwekezaji unaoendana na malengo yako

Unahitaji maelezo au msaada zaidi?


Tupigie:

+255 76 898 4000 | +255 22 551 1000 | +255 22 219 3000 | 0800711177 (free)

Tuandikie Baruapepe:

NBC_PrivateBankingRMs@nbc.co.tz
Wasiliana nasi Tawi la NBC