Kama Mteja NBC Private Banking, tunahakikisha kuwa unapata huduma za kibenki kwa namna ya kipekee kulingana na hadhi yako. Tunao mameneja uhusiano wenye ujuzi na waliobobea kuhakikisha unapata huduma zote za kibenki unazohitaji.

bank notes - icon
Meneja Mahusiano

Utapata ushauri wa kitaalamu na huduma za kipekee zinazokidhi mahitaji yako kutoka kwa Meneja Mahusiano katika Kitengo cha Private Banking.

A family potrait - icon
Viwango na Makato Nafuu

Karibu katika ulimwengu wa NBC Private Banking na ufurahie huduma za haraka kwa viwango na makato nafuu.

A tick - icon
Kadi ya NBC VISA Platinum

Kwa kutumia kadi yako ya NBC Visa Platinum, unaweza kulipia huduma na bidhaa mbalimbali popote ulimwenguni kwa njia ya mtandao (online purchase) au kupitia Mashine za POS zilizopo katika maeneo ya biashara.

A family potrait - icon
Huduma za Kibenki kwa Njia ya Simu ya Mkononi

Fanya miamala ya akaunti yako ya NBC kupitia simu yako ya mkononi.  Fanya miamala na kupata taarifa kuhusu miamala yako yote kuhusu akaunti zako zote. Piga tu *150*55 # wakati wowote. Huhitaji kuwa na intaneti kufanya miamala kwenye Huduma za Kibenki za NBC kwa njia ya Simu ya Mkononi.

A family potrait - icon
Huduma za Kibenki kwa Njia ya Mtandao

Kupitia Huduma za Kibenki za NBC kwa Njia ya Mtandao, unaweza kuitumia akaunti yako wakati wowote na popote duniani. Pia, tunakuhakikishia usalama wa hali ya juu katika kuitumia. Unachopaswa kufanya ni kupakua programu ya NBC Online Banking kupitia Apple Store au Play Store kwenye simu au tablet yako.

A tick - icon
Taarifa za Akaunti Kielektroniki

Taarifa za kielektroniki hukurahishia maisha na husaidia kuweka mazingira yetu safi. Jisajili sasa ili uwe unapata taarifa za akaunti yako kwa njia ya baruapepe.

Huduma mahususi kwa mahitaji yako ya kibenki

NBC Private Banking inakupa faida na huduma za kibenki za kipekee zilizobuniwa ili kukidhi mahitaji yako ya kibenki. Furahia huduma bora za benki pamoja uhusiano wa kipekee kupitia meneja uhusiano.

 

bank notes - icon
Akaunti ya Hundi

Hii ni akaunti ya miamala ya kawaida kabisa, inayokupatia huduma anuwai na bora. Unapata Huduma za Online Banking na taarifa za akaunti kielektroniki bure pamoja na vitabu vya hundi, kutoa fedha nyingi zaidi kupitia ATM pamoja na tunakupa fedha ya faraja kwenye msiba.

A family potrait - icon
Akaunti ya Akiba

Weka fedha akiba kwa ajili ya malengo yako maalum. Kadiri unavyoweka, ndivyo unavyopata zaidi. Hii ni njia salama, rahisi na nafuu ya kuweka akiba fedha yako

Soma zaidi

A tick - icon
Akaunti ya Uwekezaji

Wekeza fedha yako kwa muda maalum na ufurahie viwango vizuri vya faida itokanayo na kiasi cha fedha utakachokuwa umewekeza.

Soma zaidi

A family potrait - icon
Akaunti ya Fedha za Kigeni

Miamala ya fedha za kigeni imerahisishwa na ni kwa viwango nafuu. Unaweza kuwa na akaunti ya fedha za kigeni zaidi ya moja kama vile Dola la Kimarekani, Euro na Paundi (GBP). Utapewa kadi ya kutolea fedha (debit card) kwa ajili ya akaunti yako ya Dola za Kimarekani.

Tekeleza mipango yako ya kifedha sasa kupitia NBC

Akaunti ya NBC Private Banking hukupatia aina mbalimbali za mikopo kwa riba nafuu. Tupo tayari kukuhudumia wakati wowote.

house
Mkopo wa Nyumba

Uwe unanunua nyumba mpya au unarekebisha nyumba yako kwa ajili ya uwekezaji, NBC tunakupa suluhisho la kifedha kwa gharama nafuu.

Fahamu zaid

A family potrait - icon
Mikopo Binafsi kwa Wafanyakazi

Fikia ndoto zako kwa kupata mkopo iliyoundwa kwa ajili yako kwa gharama na masharti nafuu.

Fahamu zaidi

A tick - icon
Mkopo wa NBC Cash Cover

Maisha yamejaa mambo mengi madogo ya kushtukiza, kupitia Akaunti ya NBC Private Banking unaweza kupata mkopo wa hadi 90% ya fedha iliyopo kwenye akaunti yako na kuirejesha kidogo kidogo kwa muda maalum.

Fahamu zaidi

Pata faida za kipekee kwa kuwa na Akaunti ya NBC Private Banking

Furahia huduma za kibenki za kipekee zilizobuniwa kwa ajili yako.

bank notes - icon
Huduma za Usafiri

Kama mteja wa NBC Private Banking utapata huduma za VIP BURE utakaposafiri kwa ndege.

A family potrait - icon
Meneja Mahusiano

Meneja Mahusiano wa NBC Private Banking atakupatia ushauri kipekee na huduma zinazokidhi mahitaji yako ya kibenki.

A tick - icon
Vipaumbele kwa Mteja Binafsi

Utapewa kipaumbele wakati wote unapohitaji huduma za kibenki na utembeleapo tawi lolote la NBC.

A family potrait - icon
Bima

Bima itamlipa mteja wa NBC Private Banking endapo atapata ulemavu wa kudumu utakaosababishwa na ajali au magonjwa.  Endapo mteja atafariki, familia yake itapewa fedha za faraja.

NBC inatambua mahitaji yako ya bima kwa ajili yako na mali zako

Kama mteja wetu wa thamani, utanufaika na huduma za bima tunazotoa.  Karibu ulipie bima kwetu na ufurahie fidia kwa gharama nafuu. 

Soma zaidi

house
Bima ya Magari

Kilicho cha muhimu kwako ni cha muhimu kwetu. Lipia bima ya gari NBC.

A family potrait - icon
Bima ya vifaa vya Nyumbani

Hii ni bima kwa ajili ya mali ulizonazo nyumbani kwako.

A tick - icon
Bima ya Akaunti

Endapo mteja wa NBC Private Banking atafariki, Bima itatoa fedha ya faraja kwa familia yake.

Unahitaji maelezo au msaada zaidi?

 

Tupigie:

+255 76 898 4000 | +255 22 551 1000 | +255 22 219 3000 | 0800711177 (free)

Tuandikie Baruapepe:

NBC_PrivateBankingRMs@nbc.co.tz

Wasiliana nasiTawi la NBC