Akaunti ya Akiba ya Private Banking inakupa faida kila siku itokanayo na riba. Fedha yako na faida zitakuwa zikiongezeka kadiri unavyoweka akiba.

Nataka kuweka akiba

Namna ya kufungua Akaunti ya Akiba ya Private Banking?

Hand holding plus sign icon
Jinsi ya kuanza

Jaza tu fomu hii na meneja mahusiano wa NBC atawasiliana na wewe. Jisikie huru kuwasiliana nasi kupitia namba na barua pepe zilizotolewa hapa chini au tembelea tawi lililopo karibu nawe.

Information - icon
Manufaa
  • Hakuna ada ya kujiunga
  • Utapata viwango vizuri vya riba: kadiri unavyoweka akiba, ndivyo utakavyopata riba zaidi
  • Hakuna makato ya kuendesha akaunti    
  • Utapata Huduma za Kibenki za NBC Mtandaoni na kwenye Simu ya Mkononi bure
  • Unaweza kuweka akiba kwa fedha za Kitanzania (TZS) au fedha za kigeni (USD, EUR na GBP)
Checklist - icon
Taarifa muhimu
  • Kadi yako ya akaunti yako ya hundi (Current Account) inaweza kuunganishwa na akaunti yako hii ya akiba
  • Hakuna kitabu cha hundi
  • Muda wa kukaa bila kutumika ni miezi 12

Unahitaji maelezo au msaada zaidi?


Tupigie:

+255 76 898 4000 | +255 22 551 1000 | +255 22 219 3000 | 0800711177 (free)

Tuanidikie Baruapepe:

NBC_PrivateBankingRMs@nbc.co.tz
Wasiliana nasi Tawi la NBC