Nufaika na huduma zetu tunazozitoa kwa wateja binafsi, viwango nafuu vya riba ya mkopo kwenye bidhaa za uwekaji akiba kwa muda maalum na nyingine nyingi zilizoandaliwa kwa ajili yako. NBC Privilege Banking, ni namna yetu ya utoaji huduma za kibenki iliyoandaliwa kwa ajili yako.

 

bank notes - icon
Huduma kwa wateja

Pata huduma kwa wateja wakati wowote unapohitaji kutoka kwa meneja wa NBC huduma kwa wateja aliyekabidhiwa akaunti yako.

A family potrait - icon
Uhakika na Haraka

Unapata huduma za uhakika, za haraka na zenye viwango nafuu vya riba kwenye mikopo mbalimbali.

A tick - icon
Ushauri wa kifedha

Tutakusaidia kupata huduma za ushauri wa masuala ya kifedha bure wakati wowote unapohitaji.

A family potrait - icon
Huduma za Bima

Nufaika na huduma zetu za bima ikiwamo bima binafsi, za biashara na bima ya kuachishwa kazi.

Professional lady

Furahia manufaa makubwa kwa kufungua Akaunti ya NBC Privilege Banking

Pata huduma za kibenki kwa namna unayostahili kupitia NBC Privilege Account na ufurahie huduma nzuri, za haraka na rahisi. Akaunti ya NBC Privilege Banking inakupatia kile unachokihitaji, na siyo pungufu ya hapo.

bank notes - icon
Akaunti ya Hundi

Mbali na kuweka akiba na kufanya miamala, akaunti hii inakupatia huduma za NBC Online Banking na taarifa za akaunti yako kwa njia ya baruapepe. NBC inakupa BURE nafasi ya kuweka oda ya kuhamisha fedha toka kwenye akaunti yako kwenda akaunti nyingine bila mipaka, kupokea fedha ya moja kwa moja na vitabu vya hundi.

A family potrait - icon
Akaunti ya Hundi ya Fedha za Kigeni

Tunakurahisishia utumiaji wa fedha mbalimbali za kigeni kwa sababu NBC inakuwezesha kuwa na akaunti za fedha za kigeni.

A tick - icon
Akaunti za Akiba

Njia ya kuaminika, salama na rahisi ya kuweka akiba fedha zako na kupata faida itokanayo na riba.

A family potrait - icon
Akaunti ya Kuweka Fedha kwa Muda Maalum

Kuna orodha ndefu ya bidhaa za kuweka fedha kwa muda maalum na ukawa na uhakika wa kupata faida kubwa kwa viwango vizuri kulingana na kiasi cha fedha ulichoweka.

Eggs in a nest proctected

Mikopo ya NBC Privilege Banking iliandaliwa ili kukurahisishia kupata mahitaji yako ya kifedha

NBC Privilege Banking hukupatia aina mbalimbali za mikopo kwa gharama nafuu. Upekee wako ndio kipaumbele chetu.

house
Mikopo ya Nyumba

Jenga nyumba mpya au fanyia matengenezo nyumba yako ya sasa na ukifurahia viwango nafuu vya riba ya mkopo.

A family potrait - icon
Mikopo Binafsi

Mikopo ni maalum kwa ajili yako ili kukidhi mahitaji yako ya kifedha kwa viwango nafuu vya riba ya mkopo.

A tick - icon
Kutoa fedha zaidi ya salio lako

Jipatie fedha zaidi kugharamia mahitaji ya dharura kila unapokuwa na uhitaji huku ukibaki kuwa na amani ya moyoni.

A family potrait - icon
Mikopo kwa Wafanyakazi

Kamilisha ndoto zako kwa kupata mkopo utakaokidhi mahitaji yako binafsi ya kifedha kwa viwango nafuu vya riba ya mkopo.

Tumia akaunti yako kwa namna unavyopenda kupitia huduma zetu mahususi kwa ajili yako

Ukiwa na akaunti NBC Privilege Banking unaweza kutumia akaunti yako wakati wowote na popote ulimwenguni. Iwe kwa njia ya mtandao, ana kwa ana au kwa njia ya simu, utafurahia huduma bora za kiuweledi zinazoendana na mahitaji yako. Chagua unataka huduma gani ya kibenki na sisi tutakupatia.

bank notes - icon
Huduma za Kibinafsi

Timu yetu ya huduma kwa wateja imewezeshwa kukuhudumia katika mahitaji yako ya kibenki kuanzia kwenye ushauri hadi kwenye maswala mengine ya kibenki – piga tu simu

A family potrait - icon
Huduma za NBC Online Banking

NBC Online Banking unaweza kuitumia akaunti yako ya NBC Privilege Account popote duniani na wakati wowote. Aidha, akaunti hii ni salama na ina ulinzi wa kutosha katika kuitumia. Pakua program ya NBC Online Banking kutoka Play Store au App store

A tick - icon
Huduma za NBC Mobile Banking

Furahia huduma za kibenki kiganjani kwako kwa kutumia huduma za NBC Mobile Banking. Ni salama, rahisi na ina ulinzi wa kutosha katika kuitumia. Huhitaji kuwa umeunganishwa kwenye intaneti ili uweze kuitumia akaunti yako. Piga tu *150 * 55#

A family potrait - icon
Huduma za Kipaumbele tawini

Pata huduma za kipaumbe na za kipekee kila utakapotembelea tawi lolote la NBC lililopo karibu nawe au piga simu kwenye kituo chetu cha huduma kwa wateja.

Eggs in a nest proctected

Jipatie amani ya moyoni kwa gharama nafuu kuliko unavyodhani

Ukiwa mteja wetu wa thamani, unakuwa na fursa ya kupata viwango maalum vya bima zote. Kata bima kwetu kwa ajili ya mali zako na uendelee kufurahia bima kamili kwa gharama nafuu. Bima hizi ni pamoja na bila za Mali zako za thamani, Bima ya kupunguzwa kazi au kama Ikitokea umepate ulemavu kutokana na ajali.

Jifunze zaidi

Unahitaji maelezo au msaada zaidi?

Tupigie:

+255 76 898 4000 | +255 22 219 3000 | +255 22 551 1000 | 0800711177 (free)

Tuandikie Baruapepe:

NBCRetailProductteam@nbc.co.tz

Wasiliana nasiMatawi ya NBC