Ukiwa na Akaunti ya NBC Business Banking, utapata huduma za kibenki kila siku kwa urahisi. Unaweza kuiunganisha akaunti yako na huduma za NBC Online Banking, na ukahamisha fedha, ukachukua fedha au kuweka fedha za kitanzania na za kigeni.

 

 

 

 

Kufungua Akaunti ya Hundi ya NBC Business Banking ni rahisi sana

Hand holding plus sign icon
Faida za Akaunti yako ya Hundi ya NBC Business Banking
  • Inapatikana katika fedha za kitanzania na za kigeni
  • Inaruhusu kuingiza na kutoa fedha kwa urahisi (ndani na nje ya nchi, mshahara, malipo ya ndani)
  • Ni rahisi kuitumia
  • Ni salama
  • Haina gharama kubwa
  • Unaweza kufanya miamala ya kibenki kwa urahisi kupitia simu ya mkononi, kompyuta na tableti kwa kutumia Huduma za NBC Online Banking

Unahitaji maelezo au msaada zaidi?

Tupigie:

+255 768 984 000 | +255 22 219 9793 | +255 768 980 191 | 0800711177 (free)

Tuanidikie Baruapepe:

 

NBCRetailProductteam@nbc.co.tz

 

Wasiliana nasi Tawi la NBC