Kituo chetu cha biashara hutoa huduma moja kwa moja kwako juu ya maswali yako, ufumbuzi wa changamoto unazokutana nazo, maelezo na ufafanuzi kuhusu huduma zetu pamoja na mahitaji yako mengine ya kila siku.

 

card with cash
Huduma kwa wateja

Huduma nzuri, zenye ufanisi, uhakika na kuniaminika.

Glob icon
Majibu ya haraka

Tunatoa huduma za haraka katika kushughulikia maswali na maombi ya wateja.

Tunapatikana kwa urahisi

Huduma zetu zinapatikana nchi nzima kwa ajili yako.  

Utayari wa kuhudumia

Mawasiliano ya haraka na msaada wa moja kwa moja.

Professional using a laptop

Nenda na wakati na huduma za kibenki za kila siku

Fuatilia miamala yako yote popote ulipo na wakati wowote. Tunakupa taarifa za akaunti yako ya biashara kila utakapohitaji, kwa njia ya mtandao au kwenye matawi yetu.

card with cash
Taarifa za Akaunti

Fuatilia miamala yote ya akaunti yako wakati wowote.

Glob icon
Ujumbe wa SWIFT MT

Kwa ajili ya akaunti zako zote za biashara.

Taarifa za kielektroniki

Taarifa za akaunti yako zitatumwa kwako BURE kwa njia ya baruapepe.

Ripoti ya hundi zilizokataliwa

Tunakupatia muhtasari kila mwezi kuhusu hundi zote zilizokataliwa.

benefits - icon
Taarifa za akaunti

Taarifa rasmi za miamala ya akaunti yako zinatolewa kupitia matawi ya NBC au kwa njia ya mtandao.

Manufaa

 • Inaokoa muda na inaongeza ubora wa huduma unaoridhisha wateja wako
 • Inaongeza ufanisi wa biashara
 • Inapunguza uhalifu
 • Biashara yako inakuwa salama zaidi

Namna ya kuipata

 • Huduma hii hutolewa wateja wa NBC wenye akaunti ya Biashara
 • Unaweza kuchapa ripoti yako au kuitunza kwenye kompyuta yako
 • Unaweza kupata nakala iliyochapishwa kutoka kwenye tawi lolote la NBC
benefits - icon
Ujumbe wa SWIFT MT

Ujumbe wa SWIFT unatumwa kielektroniki kuhusu miamala yote inayoingia na inayotoka kwenye akaunti yako.

Manufaa

 • Kupokea papo hapo ujumbe wa SWIFT unaothibitisha malipo – unaweza kuutuma ujumbe huu kwa yule uliyemlipa

Namna ya kupata ujumbe wa SWIFT MT

 • Fungua akaunti ya biashara NBC kama bado huna akaunti hii
 • Jaza fomu inayoonesha kuwa umekubali kutumia baruapepe kama njia moja wapo ya mawasiliano kati yako na benki

Tembelea tawi lililopo karibu yako ili kujaza fomu au jaza fomu ya mtandanoni. Tutawasiliana na wewe ili kukamilisha usajili

benefits - icon
Taarifa za kielektroniki

Pokea taarifa ya akaunti yako kila mwezi au kila siku kwa njia ya baruapepe

Taarifa za kielektroniki za NBC hukuwezesha:

 • Kufurahia huduma wakati wowote na popote
 • Ni bure
 • Unapata kwa haraka kupitia mtandao
 • Inatunza mazingira yasichafuke kwa makaratasi
 • Ina ulinzi dhidi ya vihatarishi endapo baruapepe ikipotea au ikiibiwa
 • Inakupunguzia kuwa na rundo la makaratasi kwa tunza kumbukumbu zako bila kutumia makaratasi
 • Tazama salio na kufuatilia miamala yako kila unapohitaji kufanya hivyo

Ninajiunga vipi ili kupata taarifa za akaunti yangu?

 • Kwa wasio na akaunti NBC – fungua akaunti kwetu na chagua huduma hii na uifurahie
 • Kwa wenye akaunti NBC – mpaka sasa huna huduma hii? Jaza tu fomu ya maombi na uitume kwetu nasi tutakusajili

Tembelea tawi lolote la NBC lililopo karibu na nawe, ujaze fomu au jaza fomu na uitume kwa njia ya mtandao nasi tutawasiliana nawe kukamilisha usajili wako.

benefits - icon
Ripoti ya hundi zilizokataliwa

Utapokea ripoti zinazokujulisha kila muamala wa hundi, hata ya zile zilizokataliwa au zilizorudishwa.

Manufaa

 • Inaongeza ufanisi
 • Inapunguza uhali
 • Inailinda biashara yako

Namna ya kuipata huduma hii?

 • Kwa wasio na akaunti NBC – fungua akaunti sasa na chagua huduma hii na uifurahie
 • Kwa wenye akaunti NBC – mpaka sasa huna huduma hii? Jaza tu fomu ya maombi na uitume kwetu nasi tutakusajili 

Tembelea tawi lolote la NBC lililopo karibu na nawe, ujaze fomu au jaza fomu na uitume kwa njia ya mtandao nasi tutawasiliana nawe kukamilisha usajili wako.

Unahitaji maelezo zaidi au msaada?

 

Tupigie:

+255 768 984 000 | +255 22 219 9793 | +255 768 980 191 | 0800711177 (free)

Tuandikie baruapepe:

nbc_businessbanking@nbc.co.tz

Wasiliana NasiMatawi ya NBC