Huduma zetu bunifu kwa ajili ya biashara zinakuwezesha kufanya miamala mbalimbali popote ulipo ulimwenguni. Jiunge sasa na uboreshe utumiaji wa akaunti yako ya biashara.

 

NBC Ltd itatumia na kutoa taarifa zako binafsi pale tu inapohitajika ili kukupa huduma ulizoomba au unazohitaji kutoka NBC. Angalia Sera ya Utunzaji Taarifa ya NBC.

 

card with cash
Huduma zisizo na mipaka

Fanya miamala mtandaoni wakati wowote popote.

Glob icon
Lipa kwa mkupuo

Fanya malipo kwa watu mbalimbali kwa mara moja.

Usalama ya kutuma fedha

Hakikisha taarifa kati yako na NBC zipo salama kwa kutumia mtandao wa NBC.

Professional using a laptop

Tumia akaunti yako popote

Huduma ya NBC Online Banking inakuwezesha kufanya miamala ya kibiashara mtandaoni popote ulimwenguni. Ni rahisi sana, ni salama, ni popote na inafurahisha.

Namna ya kijiunga 

Jaza tu fomu hii mtandaoni na tutawasiliana na wewe, au wasiliana nasi kwa simu au kwa baruapepe kama zilivyotajwa mwisho wa ukurasa huu, au tembelea tawi lolote la NBC lililokaribu nawe.

Manufaa
 • Pata taarifa ya akaunti yako popote ikiwemo kujua salio
 • Fanya malipo mtandaoni ikiwemo kutuma fedha kwenda benki nyingine nchini au nje ya nchi.
 • Fanya malipo ya mkupuo kwenda kwa watu mbali mbali kwa mara moja. Iwe ni mishahara, gawiwo la faida
 • Hamisha fedha kwenda kwenye akaunti zako nyingine za NBC
 • Fanya malipo moja kwa moja kwenda TRA kwenye akaunti yao yoyote nchini
 • Yote haya unaweza kuyafanya wakati wowote , popote kwa kutumia kiunganishi chochote cha mtandao (browser)
Taarifa Muhimu
 • Huduma hii inapatikana kwenye tovuti yetu hii na ni salama. Bonyeza tu hapa
 • Ni huduma salama na ina nja mbili za kutumia ili kuingia

Fanya malipo ya mkupuo kwa mara moja tu

Jiunge na huduma hii na ufurahie njia rahisi na ya haraka ya kufanya malipo mengi  kwa mara moja kwa watu wengi ikiwemo wafanyakazi wako ambao hawana akaunti yoyote ya benki.

benefits - icon
Namna ya kujiunga

Jaza tu fomu hii mtandaoni na tutawasiliana na wewe, au wasiliana nasi kwa simu au kwa baruapepe kama zilivyotajwa mwisho wa ukurasa huu, au tembelea tawi lolote la NBC lililokaribu nawe.

benefits - icon
Faida
 • Njia ya moja kwa moja ya kufanya malipo mengi kwa mara moja
 • Kufanya malipo kwa watu wengi kwa mkupuo
benefits - icon
Taarifa Muhimu

Makusanyo ya fedha kwa simu bila kadi

 • Pokea fedha kutoka kwa wajeta wako kwa njia ya simu kwenda kwenye akaunti yako

Malipo ya mkupuo kwa njia ya simu

 • Fanya malipo mengi moja kwa moja kutoka kwenye akaunti yako ya NBC kwenda kwa watu mbalimbali kwa kwa njia ya simu kwa mara moja

Mawakala maaluma wa mitandao ya simu

 • Mawakala wa makampuni ya simu za mkononi wanaweza kukunua salio (eFloat) kutoka kwenye tawi lolote la NBC nchini. NBC hushirikiana na makampuni ya simu kutoa huduma kwa mawakala wao wanaonunua salio kwa jumla

Jihakikishie usalama na ufanisi kwa kutumia program ya File Gateway

Programu ya File Gateway ni njia rahisi na bora katika kutumiana nyaraka kati ya NBC na ofisi yako. Huduma hii inakupa fursa ya kuweka alama za uhakiki pamoja na kuweka namba za siri ili kuimarisha usalama na usiri wa nyaraka zako.

benefits - icon
Namna ya kujiunga
 • Jaza tu fomu hii mtandaoni na tutawasiliana na wewe, au wasiliana nasi kwa simu au kwa baruapepe kama zilivyotajwa mwisho wa ukurasa huu, au tembelea tawi lolote la NBC lililokaribu nawe.
benefits - icon
Manufaa
 • Njia ya kufanya malipo moja kwa moja kutoka kwenye akaunti yako kwenda kwa unayemtumia kwa kutumia mtandao
 • Uhakika wa usalama wa taarifa zinazotumwa kati yako na NBC
 • Inaruhusu mfumo wa nyaraka za aina zote
 • Unapata ripoti yenye taarifa za muamala mara tu baada ya kuukamilisha
benefits - icon
Taarifa Muhimu

Huduma ya program ya 'file gateway' inafanyakazi za aina mbili

Kutuma majalada ya taarifa za akaunti:

 • Majalada hutumwa kutoka kwenye mfumo wa NBC kuja kwako yakiwa na maelezo ya kina kuhusu miamala iliyofanyinka kwenye akaunti yako.  Mf. Taarifa ya kukamilika kwa malipo

Kutuma majalada ya malipo:

 • Majalada ya malipo hutumwa kutoka kwenye mfumo wako kuja NBC kwa ajili ya kushughulikia na kukamilisha malipo

Unahitaji maelezo zaidi au msaada?

 

Tupigie:

+255 768 984 000 | +255 22 219 9793 | +255 768 980 191 | 0800711177 (free)

Tuandikie baruapepe:

nbc_businessbanking@nbc.co.tz

Wasiliana NasiMatawi ya NBC