Ukiwa na Akaunti ya NBC unapata huduma za kibenki za kila siku kwa urahisi kwa kuunganishwa na huduma za kibenki kwa njia ya mtandao, na unaweza kuweka na kutoa fedha za kitanzania na za kigeni.

 

Kufungua Akaunti ya NBC kwa ajili ya kampuni ni rahisi

Hand holding plus sign icon
Manufaa ya Akaunti ya Hundi ya NBC kwa ajili ya kampuni
  • Inapatikana katika fedha za kitanzania na za kigeni
  • Inaruhusu kuingiza na kutoa fedha kwa urahisi (ndani na nje ya nchi, mshahara, malipo ya ndani)
  • Ni rahisi kuitumia
  • Ni salama
  • Haina gharama kubwa
  • Unaweza kufanya miamala ya kibenki kwa urahisi kupitia simu ya mkononi, kompyuta na tableti kwa kutumia Huduma za NBC Online Banking

Unahitaji maelezo zaidi au msaada?

Tupigie:

+255 768 984 000 | +255 22 219 9793 | +255 768 980 191

Tuandikie baruapepe:

nbc_corporateservices@nbc.co.tz

Wasiliana nasiMatawi ya NBC