Akaunti ya Hundi ya La Riba kwa ajili ya Biashara inakupatia husuma za Shari’ah-inafuata sheriaya Murahaba na huduma za miamala ya kila siku. Inaongozwa na kanuni ya Kiislamu ya Qardh: unapata mkataba wa mkopo usio na riba na kurejesha kwa awamu kiasi hicho chicho ulichokopo.

 

Ninafunguaje Akaunti ya Hundi ya La Riba kwa ajili ya Biashara yangu?

Ultimate account - card image
Hand holding plus sign icon
Namna ya kuanza

Unachopaswa ni kutembelea tawi la NBC lililopo karibu yako ili ufungua Akaunti ya Hundi ya La Riba kwa ajili ya Biashara au jaza fomu hii na tutawasiliana na wewe.

Unapaswa kuwa na nyaraka zifuatazo unapokuja kufungua akaunti

 • Leseni ya biashara
 • Hati ya usajili
 • Picha ndogo mbili za rangi
 • Nyaraka za utambulisho
 • Maelezo ya biashara yako
Information - icon
Manufaa 
 • Akaunti ya Shari’ah-ni akaunti inayofuata sheria ya Murahaba
 • Hakuna ukomo katika kuchukua fedha kwenye matawi ya NBC
 • Ina mtandao wa ATM za NBC nchi nzima
 • Inapatikana kwenye simu ya mkononi kupitia huduma za kibenki kwa njia ya mtandao
 • Unaweza kulipia huduma mbalimbali kwa urahisi kwa kufuata maelekezo yanayotolewa, na hata kuhamisha fedha kielektroniki
 • Unaweza kupata huduma za kibenki kwa kutumia kadi ya VISA au hundi
 • Unaweza kutuma fedha ndani na nje ya nchi
 • Ina kitabu cha hundi
 • Taarifa za akaunti zinapatikana bure
Checklist - icon
Taarifa muhimu
 • Inapatikana kwa fedha za Kitanzania tu
 • Haina mkopo wa dharura

Je, unahitaji taarifa au msaada zaidi?


Tupigie:

+255 22 219 3000 | 0800711177 (free) 

Tuandikie B-pepe:

contact.centre@nbc.co.tz

Wasiliana nasi Tafuta tawi