Ukiwa na akaunti yetu ya La Riba tunahakikisha kwamba huduma zako za kibenki zinawiana na mahitaji yako kwa kukupatia huduma bora na za kipekee.

Fungua akaunti

Ninafunguaje Akaunti ya Hundi ya La Riba kwa Wateja wenye Ukwasi?

Ultimate account - card image
Hand holding plus sign icon
Namna ya kuanza

Jaza fomu hii nasi tutawasiliana na wewe, au tembelea Tawi la NBC lililopo karibu yako.

Unapaswa kuwa na nyaraka zifuatazo wakati wa kufungua akaunti

 • Nyaraka halisi za kukutambulisha – mojawapo ya hizi zifuatazo:
  • Pasi ya kusafiria
  • Leseni ya udereva
  • Kitambulisho cha Taifa
  • Kitambulisho cha Mpiga Kura

 

 • Barua ya Afisa Mteji wa Kijiji au Mwanasheria
 • Picha ndogo mbili  
Information - icon
Manufaa
 • Akaunti ya Shari’ah-ni akaunti inayofuata sheria ya Murahaba
 • Hakuna ukomo katika kuchukua fedha kwenye matawi ya NBC
 • Ina mtandao wa ATM za NBC nchi nzima
 • Inapatikana kwenye simu ya mkononi kupitia huduma za kibenki kwa njia ya mtandao
 • Unaweza kulipia huduma mbalimbali kwa urahisi kwa kufuata maelekezo yanayotolewa na hata kuhamisha fedha kielektroniki
 • Unaweza kupata huduma za kibenki kwa kutumia kadi ya VISA au hundi
Checklist - icon
Taarifa muhimu
 • Hakuna makato ya kila mwezi
 • Haina mkopo wa dharura

Je, unahitaji taarifa au msaada zaidi?

Tupigie:

+255 768 984 000 | +255 22 219 9793 | +255 768 980 191 | 0800711177 (free) 

Tuandikie B-pepe:

contact.centre@nbc.co.tz

Wasiliana nasi Tafuta tawi